Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
Ni kweli kabisa mkuu hata Mimi nimeamua kufanya hvyo, huku mkoani nilipo Nina viwanja vikubwa na safi vitatuMkuu uwekezaji mzuri ni kununua viwanja vilivyopimwa, kwa sababu ardhi inaongezeka thamani kila siku, mimi nilikuwa na viwanja vinne hapa dar ambavyo nilivinunua miaka miwili iliyopita kwa milioni nane nimeviuza majuzi kwa milioni 40
Tusi la nguonikama ni kweli hilo ni zaidi ya tusi
He, angalia usitafutwe kwa ajili ya kulipia kodi ya mapato.Mkuu uwekezaji mzuri ni kununua viwanja vilivyopimwa, kwa sababu ardhi inaongezeka thamani kila siku, mimi nilikuwa na viwanja vinne hapa dar ambavyo nilivinunua miaka miwili iliyopita kwa milioni nane nimeviuza majuzi kwa milioni 40
Mkuu uko sahihi kabisa..ardhi ukitunza vizuri itakutunza zaidi....naomba kama kuna mwenye kuitaji kiwanja tuwasiliane...!Mkuu uwekezaji mzuri ni kununua viwanja vilivyopimwa, kwa sababu ardhi inaongezeka thamani kila siku, mimi nilikuwa na viwanja vinne hapa dar ambavyo nilivinunua miaka miwili iliyopita kwa milioni nane nimeviuza majuzi kwa milioni 40
CRDB wametangaza faida ambayo ni artificial. Hawa imeripotiwa juzi juzi tu kwenye gazeti la mwananchi kuwa wamepata hasara ya bilions of money. Hii faida imetoka wapi? Kuna mtaalam kanitonya kuwa wamewrite off NPAs zao hivyo ikaregister profit. Sasa hiyo shs kumi shukuru Mungu. Benki imepata hasara kubwa mkuu. Wamefuta tu madeni ndiyo ikaonyesha faida.Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
Faida ya hisa siyo kwenye gawio. Ni "kuspeculate the best time to sell your shares". Faida iko kwenye mauzo. Unanunua kwa bei ndogo na unauza wakati share price imepanda.Juzi Tanga Cement wametangaza shs 80 kwa hisa. so kwa hisa zangu 6000 napata gawio la shs 480,000/= Hapo bado Magufuli hajachukua zake!
Hii biashara ya hisa inahitaji uvumilivu wa kipekee!