Yani hawa Vodacom hata mimi siwaelewi kabisa miaka yote gawio lao hisa lipo chini sana na kama ulivyosema faida wanapata sana kila siku.Mimi ni Mwanahisa wa Vodacom na nimepata taarifa kuwa mkutano mkuu wa Wanahisa wa Vodacom utafanyika tarehe 11 Septemba, 2024 kielekroniki. Binafsi nina hakika Vodacom inafanya biashara kubwa hata kuzidi baadhi ya Mabenki lakini kinachosikitisha ni gawio walilotangaza ya Tshs. 11.93 kwa kila hisa.
Kiasi hiki ni kidogo sana ukilinganisha na biashara yao. Mfano kama NMB wanatoa zaidi ya T.shs. 100 kwa kila hisa kwa nini wao watoe kiasi hicho ambacho ni kidogo sana. Ninawaomba njia ya kuchukua ili nitoke kuwa mwanahisa wa Vodacom na nipeleke hisa zangu NMB.
Inasikitisha sana.
Sio mtaalamu sana wa mambo haya ya hisa lakini nafikiri hisa za NMB unayolinganisha na voda kwa unit price ni karibu mara 8 za bei ya voda.Mimi ni Mwanahisa wa Vodacom na nimepata taarifa kuwa mkutano mkuu wa Wanahisa wa Vodacom utafanyika tarehe 11 Septemba, 2024 kielekroniki. Binafsi nina hakika Vodacom inafanya biashara kubwa hata kuzidi baadhi ya Mabenki lakini kinachosikitisha ni gawio walilotangaza ya Tshs. 11.93 kwa kila hisa.
Kiasi hiki ni kidogo sana ukilinganisha na biashara yao. Mfano kama NMB wanatoa zaidi ya T.shs. 100 kwa kila hisa kwa nini wao watoe kiasi hicho ambacho ni kidogo sana. Ninawaomba njia ya kuchukua ili nitoke kuwa mwanahisa wa Vodacom na nipeleke hisa zangu NMB.
Inasikitisha sana.
Una maana gani? Wakati CRDB hisa watu wananunua kwa Tsh 500 kwa kila hisa na gawio lao mwaka huu ni Tsh 50 kwa kils hisa. Vodacom watu walinunua kwa Tsh 850 kwa hisa mwaka 2017 lakini gawio lao kila mwaka halifiki Tsh 20.Sio mtaalamu sana wa mambo haya ya hisa lakini nafikiri hisa za NMB unayolinganisha na voda kwa unit price ni karibu mara 8 za bei ya voda.
Hapana mkuu kwa miaka 7 wao wapo chini tu. Na wakati biashara wanafanya transaction za mpesa kila siku, Internet bundle wanakata haraka kama nini ila gawio la hisa bado linakuwa chini.Suala la hisa ni la muda mrefu
Pia huwezi kumkadiria mtu biashara yake lazima uangalie mapato na matumizi
Lazima ucheki vitabu vya mapato na matumiziHapana mkuu kwa miaka 7 wao wapo chini tu. Na wakati biashara wanafanya transaction za mpesa kila siku, Internet bundle wanakata haraka kama nini ila gawio la hisa bado linakuwa chini.
Halafu ukizopeleka DSE haziuzikiMimi ni Mwanahisa wa Vodacom na nimepata taarifa kuwa mkutano mkuu wa Wanahisa wa Vodacom utafanyika tarehe 11 Septemba, 2024 kielekroniki. Binafsi nina hakika Vodacom inafanya biashara kubwa hata kuzidi baadhi ya Mabenki lakini kinachosikitisha ni gawio walilotangaza ya Tshs. 11.93 kwa kila hisa.
Kiasi hiki ni kidogo sana ukilinganisha na biashara yao. Mfano kama NMB wanatoa zaidi ya T.shs. 100 kwa kila hisa kwa nini wao watoe kiasi hicho ambacho ni kidogo sana. Ninawaomba njia ya kuchukua ili nitoke kuwa mwanahisa wa Vodacom na nipeleke hisa zangu NMB.
Inasikitisha sana.
Zimeshuka bei na haziuziki dah nafikiri ulikuwa mchezo maana sioni tigo na airtell na halotel wakiuza hisa wakati lilikuwa takwa la kisheria kufanya hivyo....Halafu ukizopeleka DSE haziuziki
Kuna uhuni fulani hukoHapana mkuu kwa miaka 7 wao wapo chini tu. Na wakati biashara wanafanya transaction za mpesa kila siku, Internet bundle wanakata haraka kama nini ila gawio la hisa bado linakuwa chini.
Unayetuma fedha unalipia, na aliyetumiwa akitaka kuchukua kwa wakala alichotumiwa, naye analipia!Kwa siku moja MPESA inafanya transaction nyingi kuliko mabank yote
Ila bado vodacom wanajifanya hawapati faida