Gay Muslims on the Rise

Status
Not open for further replies.
gaijini unauliza na kujijibu mwenyewe....
nilichosema ni kuwa homosexuality ni part ya arab culture
sasa kama walirithi kama greeks au la hilo ni issue nyingine
fact hapa ni kuwa iko kwenye culture yao

Fact ziko wapi jamani
 
yaani umejipanga siku nzima ya leo kuja tukana wenzio... aisee.. Em tuandikie kiarabu kidogo
 

you are so funny gaijin
unakubali ni part of culture yet unataka ushahidi..
weather ni modern day culture or ancient culture
the truth ni hiyo hiyo,its part of their culture
 
you are so funny gaijin
unakubali ni part of culture yet unataka ushahidi..
weather ni modern day culture or ancient culture
the truth ni hiyo hiyo,its part of their culture
Mmmmmmmmhhhnnnnnnnn!
 
mkuu unaguna nini?
hivi tukisema ni part ya meditaranean culture
italian culture,greek culture its okay
kasoro arabs?
Kwa hiyo mkuu Boss, do you think nini kifanyike kati ya aidha kuwatambua hawa gays and lez au kutowatambua na kuwatishia maisha wakati tunajidanyanya kuwa hawapo kumbe wanaendeleza libeneke underground?
 
Kwa hiyo mkuu Boss, do you think nini kifanyike kati ya aidha kuwatambua hawa gays and lez au kutowatambua na kuwatishia maisha wakati tunajidanyanya kuwa hawapo kumbe wanaendeleza libeneke underground?

mkuu its complicated
trust me..hivi unaufahamu ugonjwa unaitwa transgender disoder????
wanasema ubongo wa mtoto mchanga hutambua jinsia yake after three months
toka kuzaliwa,sasa hutokea kwabahati mbaya watoto wengine,ubongo hutambua jinsia
tofauti...mfano mtoto wa kiume but ubongo umetambua jinsia ya kike..
so toka mtoto ana miezimitatu,anajitambua kama mwanamke na sio mwanaume
pata picha hapo?
 
In Arabic countries nackia vijana hugeuzwa na wazee wao kuwa wake hadi pale atakapooa ndio anaachwa. Na hii hutokea hasa wakati mama ananyonyesha. Pia kule wanawake hawaonekani so wanapunguziana hamu. I thnk acoding to what my friend told me, every arabian man alishakuwa sodomizd by hs father au brothers na inafichwa kweli.
 
Mkuu Boss, Duuuuuu!
Hiyo mambo ya mtoto akizaliwa inachukua 3 months kujitambua yaani honestly nilikuwa siijui, ndio nimeisikia leo. Ama kweli dunia ni uwanja mpana
 
Homosexuality is currently on the rise among the members of all religions.

You are very right. Hakuna kunyoosheana vidole kwa hili. Tumuombe Mwenyezi Mungu asituadhibu kama alivyouadhibu umati wa Nabii Lut.
 


1) Tupe ushahidi wa yote kama ulivyoandika.

2) Hilo nililoweka nyekundu nalo ni kiarabu?

Unanchekesha!
 
Salaam wa jamaa,kuhusu jamaa aliedai u gay ni sehem ya arabic culture naona kakosea,sababu u gay uko mwingi western word kuliko uko arabuni,ukiziangali nchi kama usa,brazil,canada,europe yote ma gay ilivyojazana we mwenyewe utaopata.Na pia kuna sheria zinazowalinda na sasa wana haki ya kuoana,je kuna nchi yeyote ya kiarabu ambayo haya yapo?. NO!
 


Mbona makanisani hakuna segregation ya wanawake na wanaume lakini tunaona na kusoma mpaka wikipedia kuwa mapadri wanaongoza kwa kuwa ma gay duniani? kulikoni?

Duhh, na western world jinsi ilivyojaa me gay na mi lesbian na huko ndio hakuna segregation nako unasemaje?

Falsafa ya segregation ukiitazama positively utaona inatia hamasa kwa wanaume kutaka wanawake na wanawake kutaka wanaume.

Hivi mwanamke ukishaonekana nusu uchi kila siku na kila mtu nani atakuwa na hamu na wewe tena? Mnanchekesha!
 
FF hawa ndugu zetu gayz and lez wanapatikana ktk kila community ama religion. Sasa kuliko ku-deny kuwa wanaexist na kumbe wapo, nini kifanyike? Tuendelee kuwaaccept in our societies, ama tuzidi kuwacondemn na tubakie in denial kuwa hawaexist kumbe they are in the closet?
 
Naona mjadala unaelekea kwenye udini badala ya tatizo. Sidhani kama kutakuwa na unbiased conclusion
 

Wapo, halipingiki lakini tufate sheria zinasemaje kuhusu watu? tusiwachekee kabisa, ni hatari kabisa, wanaangamiza nchi. Soma Biblia kama ni Mkristo soma na Qur'an kama Muislaam na kama huna dini tazama sheria za nchi unayoishi zinasemaje kuhusu hawa watu.

Utaona kuwa zile nchi zenye msimamo wa dini watu kama hawa hufanya siri kubwa sana na huwezi kuwajua kiurahisi kama katika nchi ambazo wameridhika nao.
 
Naona mjadala unaelekea kwenye udini badala ya tatizo. Sidhani kama kutakuwa na unbiased conclusion
Binafsi sikubaliani na homosexuality. Lakini kama watu hawa wapo ktk jumuiya zetu.....What needs to be done?
 
1) Tupe ushahidi wa yote kama ulivyoandika.

2) Hilo nililoweka nyekundu nalo ni kiarabu?

Unanchekesha!

Welcome to GayArab.com

See why GayArab.com is the global fastest growing relationship site on the web like no other. Create your GayArab.com profile to begin the exciting journey towards finding your match.

Source: Arab Personals
gayarab.com
 
<br />
<br />
Zanzibar hapo kuna mzee kamuacha nkewe kwa ajili ya maraha na ujuzi wa kishoga anaopewa na mwanawe nkubwa wa kiume
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…