Sitetei but for me if your gay sina matatizo na wewe maana hayo ni maamuzi yako umeyaamua kuyafanya hata nikikutukana, kukuzomea sana sana tutatafutana ubaya tu na kamwe huwezi kuacha sana sana utakuwa unajificha pale utakaponiona so what endelea na mambo yenu tukikutana kwenye kazi au jamii ni kazi kwa kwenda mbele mambo mengine mtajijua huko huko, angalizo hata sisi wanaume tunaowafanya wasichana nyuma zao vile vile una dalili za kwenda kuwa top gay then utakuwa kote kote mwisho unakuwa chini kwa hiyo nao waangalie sana pia siku hizi wasichana wanaona fasheni kufanyiwa hayo maushenzi, samahani hasa watoto wenye rangi fulan fulan hivi ndio wanapenda sana kufanyiwa, kila mtu na biashara yake hainihusu sana na misaada hiyo bado inakuja na bado mnaipokea tu mwisho wa siku akikuambia ugeuke utakataa? there is no free lunch siku hizi. nilimsikia waziri mmoja eti wakitunyima msaada kwa sababu tumepinga ushoga tutajifunga mkanda kwanini usijifunge mkanda now mpka usubiri wakunyime?? mtaniambia siku si nyingi. na tatizo africa hili tatizo litakuja kwa kasi ile mbaya wenzetu kule wanafanya kwa starehe zao ila sisi tutafanya for benefit maana wengi wanaishi kwa kipato kidogo sana kwa hiyo wengi watavamia hii fani kwa ajili ya kujipatia pesa so litakuwa tatizo kubwa sana kwa vijana wetu. angalia wale vijana walioshiba wanaojiuza pale barabarani karibu na pub moja kama unaelekea aghakan hospt wanajiuza kwa wamama ila cha kushangaa wanaume nao wakija na magari yao wanaingia sasa unajiuliza huwa wanajuana kama washkaji au nini kinaendelea hapo?? kwa wenye familia malezi bora hutoka kwenye familia bora kama unajifanya eti uko busy na kazi zako huna muda hata wa kukaa na mtoto na anachokifanya toka akiwa mdogo kwa kumkataza hiki ni kibaya hiki ni kizuri usishangae sana siku akija akikuambia "mum im a gay" sijui utalia nani na kila siku unamuomba mungu akusaidie ktk familia yako, huwezi kusali tu bila na wewe mwenyewe kujishughulisha na matunzo ya watoto kwa vitendo.