100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Israel inalindwa na Marekani pamoja na nchi za ulaya magharibi ndio maana inafanya huu unyama.Doh.. inatisha sana. Na hii ni kinyume na sheria za kimataifa
Hamas wameshindikana...Ile ni coward army IDF inapaswa kupambana na Hamas sio hiki wanachofanya kama wao ni wamba wawaangamize Hamas na sio kuua raia wasio na hatia wanaochukua misaada.
Basi alopendekeza waislael wakakae parestn ndo wakulaumiwa mana waislael hawakua na chaguoPale ni kwao kivipi hali yakuwa 1948 wamewakuta Palestinians? nani kamvamia mwenzake?
Hivi unaelewa Joseph Chamberlain alipendekeza eneo hapa East Africa iwe kama jewish homeland?
Kwenda kukaa pale si shida wapalestina waliwakaribisha kwa moyo mkunjufu, tatizo walianza kuwaua na kuwatesa huku wanawaibia ardhi yao kimabavu... wangekaa tu kwa amani kusingekua na shida..Basi alopendekeza waislael wakakae parestn ndo wakulaumiwa mana waislael hawakua na chaguo
Si kweli...Chakula kikipelekwa Hamas wanachukua chote maana na wao njaa zinawauma, hapo unataka iweje?
Hakuna namna, Hata Congo watu wanakufa hivo hivo.. Maisha lazima yaendelee.Hiyo ni collateral damage isiyo ya kawaida... wanajuta sana raia.. mbaya zaidi nchi za kiarabu wamewaachia wapalestina waicheze hii ngoma wenyewe.
Ndugu kwa hapa tulipofikia HAMAS aachie mateka vitaa viishe, jaman Ina umma watito kufa njaaaWalioanza kuua wenzake ni Israel... hadi 2023 Oct 7 kabla ya uvamizi Israel ilishaua Palestinians zaidi ya laki moja toka kuingia kwake pale 1948...
Sioni hamas walichokosea ilikuwa ni sawa tu..
Hapa tunataka vita isitishwe, watoto wapate vyakula na kucheza mitaan....Pale ni kwao kivipi hali yakuwa 1948 wamewakuta Palestinians? nani kamvamia mwenzake?
Hivi unaelewa Joseph Chamberlain alipendekeza eneo hapa East Africa iwe kama jewish homeland?
Hamas ipo tayari shida ni Israel... Israel kinachomsumbua ni kutokukubali kwamba kikundi cha wanamgambo Hamas ameshindwa kukimaliza na kufanya mission ya kuwakomboa mateka wake...Ndugu kwa hapa tulipofikia HAMAS aachie mateka vitaa viishe, jaman Ina umma watito kufa njaaa
HAMAS anaona ugumu Gani kuachia mateka vita iishe??? Roho yaniuma sana hawa watoto wangu Arusha wanavyopenda kula fikiria Kuna watoti Palestine hawajala siku tati na wengine wanakufa
Hapo tumefika pabaya.....kama ni mateka waachiliwe vita iishe.....HAMAS aache kukaza wkt maafa yanemzidia....achia mateka
Israel ni kama kaburu..Israel anazingua Nyerere alitambua uhuru wa Palestina pamoja na Mandela nashangaa kuna wakristo wanafurahia huu uhuni wa Israel
Israel amekataa kusitisha vita...Hapa tunataka vita isitishwe, watoto wapate vyakula na kucheza mitaan....
Maisha yarudi kama kawaida
Habari za 1948 hatitaki huku watoto wakifa njaa
Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..
View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..
View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I
Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..
View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo
Hii vita IDF imeshindwa...
Waombe msamaha kwa nani Sasa?Sikutegemea kwamba itafika stage kwenye hii vita ,wapalestina wanakufa kwa njaa. Mashirika na jumuiya za kimataifa ziingilie kati tu kumaliza hii vita. Nchi za kiarabu zisikae kimya pazeni sauti. Ombaneni msamaha
View attachment 3419607