100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hakuna hamas anaiba vyakula vya wananchi..Kituko hiki wapalestina wanaishi kama nguchiro, wakitegemea chakula cha msaada ambapo nacho hawakipati maana wananyang'anywa na hamas ambao nao njaa kali imewakumba halafu still unasema IDF haina uwezo wa kupambana na hamas🤣😂😅 hamas imeshindwa kupambana na IDF pamoja na kusaidiwa na Irani na magaidi wengine, Iran naye kakungutwa na gaza imebaki majivu halafu IDF imeshindwa 😅🤣😂
Wewe endelea tu na ubishi wako wa kukaza fuvu kwa ajili ya mahabaHivi Syria nayo ni nchi kwa sasa kusema unapambana nayo? Israel imepambana na Iran ikisaidiwa na US kwa siku 12 tu, mbona wameomba ceasefire?
Huna akili wewe tumbili!! Hata hujui mpaka sasa waja wa Allah mmekufa wangapi huko!!Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..
View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..
View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I
Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..
View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo
Hii vita IDF imeshindwa...
idf imeshindwa vita..Huna akili wewe tumbili!! Hata hujui mpaka sasa waja wa Allah mmekufa wangapi huko!!
Nani kakuambia haya yote?Lengo la Mayahudi wanataka Watengenezee taifa linaitwa Great Israel Gaza washaichukua wataichukua Syria, Lebanon, Jordan, Cypress,Misri hadi nusu ya Irani ili waunde taifa lao.
Pepo ipi? Kule waliko kina Osama bin laden na kina Yahaya Sinwar na kina Hassan Nassarah!?Wew unawahurumia wenzako wana ticket ya peponi, jitathimini kwanza wewe kabla ya kuwahurumia. Waonee wivu na uwaombee chakula yaàni rizki ziwafikie Kwa wakati Hilo ndio hitaji lao kubwa
Hamas wakijiandaa kwa mda mrefu ili kuvamia kule Kusini mwa Israel. Kuwa na bomu au risasi kwenye mahandaki ni kitu cha kawaida kabsaHakuna hamas anaiba vyakula vya wananchi..
Unaweza kunieleza Hamas wanapata wapi silaha wanazotumia kupambana na Israel kwa miaka miwili sasa, maana Gaza yote imezungukwa kwa ulinzi mkali, hakuna kitokacho wala kinachoingia, je silaha, risasi, mabomu n.k wanapata wapi? na zenyewe wanaiba kwa wananchi?
Nimeuliza hizo silaha wanazotumia kupambana na Israel kwa miaka miwili wanazipata wapi? Hamas wapo zaidi ya 20000 sasa pale Gaza, hao wote wana bunduki AK 47, maroketi, mabomu ya kurusha na kutega... wana sniper.. hizo silaha za kupambana na IDF kwa miaka miwili wanazitoa wapi?Hamas wakijiandaa kwa mda mrefu ili kuvamia kule Kusini mwa Israel. Kuwa na bomu au risasi kwenye mahandaki ni kitu cha kawaida kabsa
Ndo maana OCTOBER 7 kila hamas aliyevuka mpaka alikua na silaha na bullet proof
We izo habr unaangalia vip?Wanapigana kwa ajili ya Gaza? ..wakaenda kuua watu nchi nyingine wamama watoto wakike wakabakwa na kuuliwa...huko ndio kupigana kwa ajili ya Gaza? Eti wanawakubali? Una wazimu? Unaangalia hata international news? Wanawake kwa wanaume wanalia wanasema hao magaidi waachie mateka ili vita viishe waendelee na maisha yao..wamechoka mateso makali, eti wanawakubali...Yan Mimi nikukubali huku nakufa na njaa na watoto wangu wanakufa na njaa? Rubbish
Uongo Gani upumbavu tu, unaona watoto na wanawake kwa wanaume wanashika mabakuli wanalia njaa .? Wewe umekalisha mapumbu hapo nchi yenye amani unakula na kusaza, halafu unasema eti wanawakubali hamas..upumbavu tu ..hamas mashaitwan wanafurahia tu kuona wananchi wanateseka watoto wanakufa na njaa ..achia mateka vita iishe..fullstopWe izo habr unaangalia vip?
Maana izo propaganda saiv Hadi wazungu wenzako washazichoka.kaanza mfaransa wanakuja waingereza
Mdogo mdogo tuh akili zinaanza kuwakaa sawa
Huezi ua watu Kila cku Kwa visingizio vya uongo
Uongo haukai mda mrefu
Israel ilikuwa haiui watu,lakini hamas wao walikuwa wanateka yeyote na kujificha kwenye makazi ya watu ili wasishambuliwe,sasa kazi ipo wanavuna walichopanda,ni mwehu tu anaweza kukuamini kwamba IDF imeshindwaKiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..
View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..
View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I
Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..
View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo
Hii vita IDF imeshindwa...
Hamas na raia wa Gaza hamna tofauti,hao wanaolilia chakula hapo ndo Hamas wenyewe wamekuja kiraiaTofautisha hamas na raia wa Gaza, Israel inafanya uhalifu wa kivita kutoruhusu mashirika ya kutoa misaada kuwapa misaada wahanga wa vita...
Anayepambana na Israel ni Hamas sio raia wa Gaza... umeelewa?
Israel anavunja sheria ndio maana ICC walitoa tamko Netanyahu anafanya uhalifu wa kivita...
Hamas hawachangamani na raia.. Hamas wapo kuwalinda raia wa Gaza...Hamas na raia wa Gaza hamna tofauti,hao wanaolilia chakula hapo ndo Hamas wenyewe wamekuja kiraia
Vita ilipoanza IDF ilikuwa inaheshimu zahanati,mahospitali na misikiti,mwisho wa siku ndo sehemu wanakojificha Hamas na kuchanganyika na watu,kwa msako uliofaanyika hao Hamas wangekuwa hawachanganyiki na raia wangeshamalizwa, je hiyo njaa inaowakumba raia haiwapati Hamas?kama haiwapati wao chakula wanatoa wapiHamas hawachangamani na raia.. Hamas wapo kuwalinda raia wa Gaza...
Israel iliweka spies kwenye kila kambi ya wakimbizi Gaza ili kuwatafuta mateka, hawakupata yeyote... mwisho ikabidi wakubali mazungumzo, mateka wakatoka na nguo mpya na wamenawiri, usoni wana smile...
Kama Hamas wamechangamana na raia, basi mateka wangeokolewa kwenye hizo kambi, kiongozi ni namna tu flani huelewi Israel inatumia wataalamu wenye uwezo gani, vifaa, sayansi, pesa na muda kuwatafuta hao mateka ndani ya Gaza na bado hawajawapata....
Historia inaeleza 1976, operation Entebbe, jamaa walitoka Israel hadi Uganda kuwakomboa mateka wakiruka kilomita 4000 na ndege... ndani ya lisaa walishamaliza mission... wakakomboa mateka zaidi ya 100, huku askari mmoja wa Israel akifariki...
Haya sasa Hamas hao hapo wapo hapo hapo Israel ndani ya kieneo kidogo, hopefully 1976 hadi leo tech ya Israel imeongezeka, askari ni wengi zaidi na eneo walipo mateka ni pale pale ... wanashindwa nini kuokoa hao mateka?
Hamas hawana haja kujichanganya na raia kuomba chakula, Hamas wanatumia silaha kwa miaka miwili kupambana na Israel, Gaza imezungukwa yote.. hizo silaha wanazotumia Hamas ambazo haziishi pia wanazipata kutoka kwa raia? inakuwaje wanatumia silaha miaka miwili haziishi? wanazipata wapi?
kuna video niliweka hapa mzee flani myahudi mstaafu IDF akiwaambia askari vijana na kuwapa motivation kwamba wakiingia Gaza, waue watoto , wanawake na kila wamuonae mbele yao...Vita ilipoanza IDF ilikuwa inaheshimu zahanati,mahospitali na misikiti,mwisho wa siku ndo sehemu wanakojificha Hamas na kuchanganyika na watu,kwa msako uliofaanyika hao Hamas wangekuwa hawachanganyiki na raia wangeshamalizwa, je hiyo njaa inaowakumba raia haiwapati Hamas?kama haiwapati wao chakula wanatoa wapi
Ebu tuliza mapepe acha wenge.Uongo Gani upumbavu tu, unaona watoto na wanawake kwa wanaume wanashika mabakuli wanalia njaa .? Wewe umekalisha mapumbu hapo nchi yenye amani unakula na kusaza, halafu unasema eti wanawakubali hamas..upumbavu tu ..hamas mashaitwan wanafurahia tu kuona wananchi wanateseka watoto wanakufa na njaa ..achia mateka vita iishe..fullstop
Ebu tuliza mapepe acha wenge.
Watapata uhuru wao no matter what
Vizazi vyao vitakuja kuishi huru kwenye taifa la Palestine ambalo saiv nchi za ulaya zilizokua na mawazo kma yako zimeona ukweli sasa zinaitambua Palestine
Viongozi wenu wa dini walipotembelea gaza mbona walilaumu Israel badala ya kulaumu hamas?