100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Mashetani ni serikali ya Netanyahu iliyoshindwa vita wameamua kuwatesa wananchi wa Gaza...View attachment 3421680
Hamas wamesababisha haya yote...mzazi Gani wa hao watoto anatamani kuwasikia hao MASHAITWAN HAMAS...
Hivi kwani Hamas WASISHINIKIZWE na Dunia waachie hao mateka Ili Israel imalize vita?Sikutegemea kwamba itafika stage kwenye hii vita ,wapalestina wanakufa kwa njaa. Mashirika na jumuiya za kimataifa ziingilie kati tu kumaliza hii vita. Nchi za kiarabu zisikae kimya pazeni sauti. Ombaneni msamaha
View attachment 3419607
Basi ngoja waendelee kuuana mkuuWalioanza kuua wenzake ni Israel... hadi 2023 Oct 7 kabla ya uvamizi Israel ilishaua Palestinians zaidi ya laki moja toka kuingia kwake pale 1948...
Sioni hamas walichokosea ilikuwa ni sawa tu..
Oct 7 Hamas walivamia kuua na kuteka IDF au Raia yeyote wa Israel?Tofautisha hamas na raia wa Gaza, Israel inafanya uhalifu wa kivita kutoruhusu mashirika ya kutoa misaada kuwapa misaada wahanga wa vita...
Anayepambana na Israel ni Hamas sio raia wa Gaza... umeelewa?
Israel anavunja sheria ndio maana ICC walitoa tamko Netanyahu anafanya uhalifu wa kivita...
Akili za maharage, poleKiongozi Hamas wameshindikana, wana viwanda vya silaha hapo hapo Gaza.. wanatengeneza hadi sniper, chakula wanacho... maroketi ya kupiga vifaru na mabomu ya kutega wanatengeneza wao na kila siku wanalipua merkava tanks..
Wakulaumiwa hapa ni Iran maana walipata nafasi ya kuwasaidia watu wa gaza ila wakapuuzia kuitumia.Sikutegemea kwamba itafika stage kwenye hii vita ,wapalestina wanakufa kwa njaa. Mashirika na jumuiya za kimataifa ziingilie kati tu kumaliza hii vita. Nchi za kiarabu zisikae kimya pazeni sauti. Ombaneni msamaha
View attachment 3419607
Toka 1948 hadi 2023 Oct 7 Israel imeaua zaidi ya raia 100,000 wa Palestine, kuna ubaya gani walipovamia na kuua raia wa Israel? ilikuwa ni lugha pekee taifa la mchongo la kiyahudi wangeelewa...Oct 7 Hamas walivamia kuua na kuteka IDF au Raia yeyote wa Israel?
Nafasi ipi Iran walipata?Wakulaumiwa hapa ni Iran maana walipata nafasi ya kuwasaidia watu wa gaza ila wakapuuzia kuitumia.
Toka 1948 Palestine wamekua wakikataa mapendekezo yote ya kugawana aridhi Hadi Israel walipoa amua kijitangazia nchi Yao.Toka 1948 hadi 2023 Oct 7 Israel imeaua zaidi ya raia 100,000 wa Palestine, kuna ubaya gani walipovamia na kuua raia wa Israel? ilikuwa ni lugha pekee taifa la mchongo la kiyahudi wangeelewa...
Miaka yote wanapinga na kupaza sauti hawasikilizwi, tena Hamas wavamie tena waue 5000...
Iran kuingia vitani na Israel ilikua ni njia sahihi ya kuwasaidia watu wa gaza haijalishi iran ingepoteza kila kitu au watu wake wote ila ingeandika historia kwa vizazi vijavyo kuwa ilisaidia watu wa gaza kuondokana na mateso ya myahudi.Nafasi ipi Iran walipata?
Sawa idf na Palestine za nini wakati CONGO NA SUDANI Kuna migogoro na hatuisemei chochote ww unayeona IDF imeshindwa sawaKiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..
View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..
View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I
Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..
View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo
Hii vita IDF imeshindwa...
Hawana umoja ni kama watanzaniaIran kuingia vitani na Israel ilikua ni njia sahihi ya kuwasaidia watu wa gaza haijalishi iran ingepoteza kila kitu au watu wake wote ila ingeandika historia kwa vizazi vijavyo kuwa ilisaidia watu wa gaza kuondokana na mateso ya myahudi.
Kolabo ya iran= Iran yenyewe, iraq, syria, yemen na lebanoni ilitosha kulifutilia mbali taifa la israel haijalishi hata dunia nzima tungekua vitani.
Iran kupitia ayatolah ali kamenei wamekosea sana
Sikutegemea kwamba itafika stage kwenye hii vita ,wapalestina wanakufa kwa njaa. Mashirika na jumuiya za kimataifa ziingilie kati tu kumaliza hii vita. Nchi za kiarabu zisikae kimya pazeni sauti. Ombaneni msamaha
View attachment 3419607
Vipi umemaliza kupaza sauti kwenye nchi yako juu ya utekaji unaofanywa na makada wa CCM na CHADEMA,MAJAMBAZI,POLISI na watu wa usalama.Vipi kuhusu wastaafu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuhusika kisiasa kwa kuwatumia maaskari waliopo madarakani,uchumi kuyumba,elimu chafu ndio maana wasomi hawakui kifikra.Au unatizama ya wenzako ambako si ajabu hata kufika hujawahi.Sikutegemea kwamba itafika stage kwenye hii vita ,wapalestina wanakufa kwa njaa. Mashirika na jumuiya za kimataifa ziingilie kati tu kumaliza hii vita. Nchi za kiarabu zisikae kimya pazeni sauti. Ombaneni msamaha
View attachment 3419607
We unaamini malengo ya Israel pale Gaza ni mateka? No! Hukumbuki Trump alisema yupo tayari kuwatafutia eneo jingine Wapalestina zaidi Milion 2 wakaishi sehemu nyingine ila Gaza watoke? Basi jua lengo ni kuhakikisha kizazi chote cha Palestina kitoke lile eneo na Israel waichukue ardhi yote.Hivi kwani Hamas WASISHINIKIZWE na Dunia waachie hao mateka Ili Israel imalize vita?
Kwanini watu wanalalama as if Israel ni vichaa wanaiboma TU Gaza bila utu?
Unajua kitu kinaitwa Oslo accords? Basi ulikuwa mkataba wa amani kati ya Palestina na Israel kipindi hicho PM wa Israel ni Yitzhak Rabin na Palestina ikiwakilishwa na Yessir Arafat lakini makubaliano yalikuja kuvunjika mara baada Rabin (ISRAEL PM) Kuuawa na Waisrael wenzake wakioponga mkataba wa makubaliano hayo..Toka 1948 Palestine wamekua wakikataa mapendekezo yote ya kugawana aridhi Hadi Israel walipoa amua kijitangazia nchi Yao.
Kuanzia wakati huo Wapalestina wakatangaza JIHAD kuwaondoa Waisrael badala ya kujikita na uanzishaji wa Taifa lao.
Hiyo Jihad ndio chanzo Cha haya yote
Huu ndiyo ujinga wa Wafuga Midevu na Majini!!!! Unafurahia kuuwawa kwa askari watatu wa Israel, Wakati huo huo kuna wapalestina zaidi ya 100 wameuwawa.Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..
View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0
Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..
View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I
Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..
View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo
Hii vita IDF imeshindwa...
Hii ni fake news!!! Endelea tu kutulisha Matango Pori!!We unaamini malengo ya Israel pale Gaza ni mateka? No! Hukumbuki Trump alisema yupo tayari kuwatafutia eneo jingine Wapalestina zaidi Milion 2 wakaishi sehemu nyingine ila Gaza watoke? Basi jua lengo ni kuhakikisha kizazi chote cha Palestina kitoke lile eneo na Israel waichukue ardhi yote.
Ukipata mda soma kitu kinaitwa "The Grea Israel" hiki kitu ata Netanyahu aliwahi kuingianacho kwenye mkutano wa umoja wa mataifa (UNGA) Ramani ilikuwa inaonesha hakuna sehemu inaitwa Palestina.
Kwaiyo hiki kinachoendelea Gaza jua pia kinaendelea Western Bank pia, kila siku huko western bank raia wa Palestina wanauawa na jeshi la Israel! Kimsingi ili wazo la Great Israel haliajaanza leo wala jana ila lina miaka.
View attachment 3422057
Kama unaunga mkono mauaji ya Oct 07,2023 basi endelea kufurahia pia kuangamizwa kwa Wapalestina zaidi ya 57,000!!!!Walioanza kuua wenzake ni Israel... hadi 2023 Oct 7 kabla ya uvamizi Israel ilishaua Palestinians zaidi ya laki moja toka kuingia kwake pale 1948...
Sioni hamas walichokosea ilikuwa ni sawa tu..