Acha kudanganya watu na story za kijiweni. Wayahudi hawana historia East Africa kwa hiyo haiwezi kuwa Homeland yao!!!Pale ni kwao kivipi hali yakuwa 1948 wamewakuta Palestinians? nani kamvamia mwenzake?
Hivi unaelewa Joseph Chamberlain alipendekeza eneo hapa East Africa iwe kama jewish homeland?
Wayahudi ndiyo wenye nchi toka awali nchi hiyo ilikuwa inaitwa Judea & Samaria!!Kwenda kukaa pale si shida wapalestina waliwakaribisha kwa moyo mkunjufu, tatizo walianza kuwaua na kuwatesa huku wanawaibia ardhi yao kimabavu... wangekaa tu kwa amani kusingekua na shida..
Gaidi huyo unayemramba miguu ni Mastermind wa Mauaji ya Oct 07,2023!!!!Si kweli, magaidi ni IDF, unaweza kunambia Yahya Sinwar alipouawa alikua amejificha kwenye kundi la raia?
Hawa ni wapalestina wa Mazese?????
Story za kijiweni hizoLengo la Mayahudi wanataka Watengenezee taifa linaitwa Great Israel Gaza washaichukua wataichukua Syria, Lebanon, Jordan, Cypress,Misri hadi nusu ya Irani ili waunde taifa lao.
Hii ni fake news!!! Endelea tu kutulisha Matango Pori!!
Story za kijiweni hizo
Wewe ni zuzu kweli kweli unajua kusoma vizuri kiingereza? Wapelekee wanaojua kiingereza wakuelezee vizuri ujue Hapa Waziri Mkuu wa Israel alikuwa anamaanisha nini!! Usifikiri wote humu ni Wajinga kama wewe na usifikiri wote humu tuna zuzuka kama wewe!!