Elections 2010 Gazeti gani leo limeandika Dr Slaa alishinda kwa % 64?

Elections 2010 Gazeti gani leo limeandika Dr Slaa alishinda kwa % 64?

Supervisor

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
559
Reaction score
208
Jaman mi nimeckia wa2 wanasema eti leo kuna newspaper imeandika hvyo lakn mm cjaliona! kama kuna aliyeliona anijuze
 
halipatikani mitaani yaani by saa nne leo mwenge na chuo pale mlimani halikuwa linapatikana
 
halipatikani mitaani yaani by saa nne leo mwenge na chuo pale mlimani halikuwa linapatikana
Labda mafisa wameya nunua maana ndiyo tabia zao lakini hata hapa jamvini hiyo habri imewekwa pekua pekua tu...
 
ilikuwa na title hii usalama wa taifa dr slaa alishinda uchanguzi kwa 64% hata uki-google lakini nimejaribu kuitafuta sii pati au kunamna....
 
Ndio sababu Mwizi hana raha. Tabia ya Wizi haianzii ukubwani.
 
Mark my words. Tanzania Daima litafungiwa.
 
Wadau naomba mwenye habari hiyo iliyotoka kwenye Tanzania Daima atuletee hapa jukwaani maana nimelitafuta sana hilo gazeti leo halikupatiana kabisaaaa!!

Itakuwa vizuri mwenye habari kamili akatujuza hapa jukwaani kwetu.

Naomba kuwasilisha.
 
Mimi ninayo lakini ndiyo natoka ofisi nikipata muda home nitaiweka ingawa ilikuwa imewekwa hapa....
 
Thread yenyewe imechakachuliwa hapa JF mchana kweupe sembuse gazeti lenyewe dhubutu.
 
Jamani nani kachakachua hiyo thread tena maana inaonekana ni hot cake sana.
Mi asubuhi nimetafuta tz ddaima nikalikosa nikajua bado hayajatoka kumbe.....
 
10i5gra.jpg
 
Back
Top Bottom