N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Aug 11, 2024 #21 Tate Mkuu said: Gazeti la chama hilo! Hakuna mwenye ubavu wa kuligusa. Click to expand... Lilimzingua MAZA akalifungia, aliliita kipeperushi
Tate Mkuu said: Gazeti la chama hilo! Hakuna mwenye ubavu wa kuligusa. Click to expand... Lilimzingua MAZA akalifungia, aliliita kipeperushi
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 1,396 Reaction score 2,704 Aug 11, 2024 #22 nguvu said: Lilimzingua MAZA akalifungia, aliliita kipeperushi Click to expand... [emoji1][emoji1][emoji1]
nguvu said: Lilimzingua MAZA akalifungia, aliliita kipeperushi Click to expand... [emoji1][emoji1][emoji1]
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Aug 11, 2024 #23 Makonda aliwasaidia polisi kutengeneza mikweche Yao lakini wao wameshindwa kumlinda.polisi wakumbushwe wajibu wao
Makonda aliwasaidia polisi kutengeneza mikweche Yao lakini wao wameshindwa kumlinda.polisi wakumbushwe wajibu wao
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,926 Reaction score 17,880 Aug 11, 2024 #24 Erythrocyte said: Jikite kwenye mada Click to expand... Wewe Bure kabisazp,chamani Kuna Waka moto harafu wewe unaleta porojo, ongelea ufisadi na rushwa zinazo ibuliwa na makamu mwenyekiti wa Chaduma
Erythrocyte said: Jikite kwenye mada Click to expand... Wewe Bure kabisazp,chamani Kuna Waka moto harafu wewe unaleta porojo, ongelea ufisadi na rushwa zinazo ibuliwa na makamu mwenyekiti wa Chaduma