Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,653 Reaction score 31,010 May 6, 2020 #1 Gazeti la leo 06/05/2020, UHURU pg 4. **** picha ya Oscar Kambona akipata shave tarehe 24 June mwaka 1667 !!!!! Uhariri ndani ya gazeti letu pendwa uko mashakani. Mhariri umeshindwa ku capture makosa haya?
Gazeti la leo 06/05/2020, UHURU pg 4. **** picha ya Oscar Kambona akipata shave tarehe 24 June mwaka 1667 !!!!! Uhariri ndani ya gazeti letu pendwa uko mashakani. Mhariri umeshindwa ku capture makosa haya?
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 May 6, 2020 #2 Gazeti Pendwa??
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,653 Reaction score 31,010 May 6, 2020 Thread starter #3 Allen Kilewella said: Gazeti Pendwa?? Click to expand... Yes mkuu, kwa sisi wa kijani. Ila gazeti linatudhalilisha. NO editing? Kijana wa darasa la sita atasema pengine ni kweli habari hiyo.
Allen Kilewella said: Gazeti Pendwa?? Click to expand... Yes mkuu, kwa sisi wa kijani. Ila gazeti linatudhalilisha. NO editing? Kijana wa darasa la sita atasema pengine ni kweli habari hiyo.
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 May 6, 2020 #4 Leta picha ya Mbowe akitoka gerezani
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,653 Reaction score 31,010 May 6, 2020 Thread starter #5 Bia yetu said: Leta picha ya Mbowe akitoka gerezani Click to expand... Mi ni msomaji kama wewe , uwaulize waandishi wa habari.
Bia yetu said: Leta picha ya Mbowe akitoka gerezani Click to expand... Mi ni msomaji kama wewe , uwaulize waandishi wa habari.