Acha uoga wewe . Jaribu kupambana na mihemko yako uone kama hiyo heading ina shida yoyote . Uwezo wako wakupokea mambo na kuyatafsiri umeathiriwa na uoga wa kufungwa na Simba .
Nimeshangaa gazeti LA Champion ambalo linapaswa kuwa kibiashara zaidi kuleta ushabiki mandazi. Hii front page haikuwekwa hivi kwa bahati mbaya
SIMBA yuko vizuri first half tu