Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Abdul Juma, baba wa Diamond Platmnuz juu ya mtoto wake: "Nina hakika kwamba nitakapokufa, hatatakiwa kuzika, kwa sababu mimi ni mtu wa watu na ninaweza kuzikwa na watu wengine"
Sijaambulia kitu.
joseph1989Mzee Abdul Juma, baba wa Diamond Platmnuz juu ya mtoto wake: "Nina hakika kwamba nitakapokufa, hatatakiwa kuzika, kwa sababu mimi ni mtu wa watu na ninaweza kuzikwa na watu wengine"
Mzee Abdul Juma, father of Diamond Platmnuz on his son: "I am convinced that when I die, he will not be required to bury me, because I am a man of the people and I can be buried by others people"
Asotafute huruma isiyomhusu.Yeye afe tu!kuhusu kuzikwa asijali hakujali kulea aje kujali kuzikwa?
Asituchoshe,hakumjua mtoto anakula/kuvaa nini, amekuaje mpaka alipomuona kwenye vioo vya tv. Afe tu bhana hataanikwa,atazikwa tu.Asotafute huruma isiyomhusu.
Tokea nione kuna mmama mmoja kajifanya yy dada yake Diamond anaishi London,akajifanya anarudi Dar kumpatanisha na Diamond ndipo nikajua mzee hayupo serious.Kumbe yule mama alimtumia kujipatia umaarufu na hausiani na Diamond hata kidogo.Mzee haelewi kuwa yeye ni deal watu wanalitumia kuuzia magazeti.