Gazeti la Habarileo laudanganya Umma: ‘Faini ya Sh mil 128 yaisubiri Yanga’

Gazeti la Habarileo laudanganya Umma: ‘Faini ya Sh mil 128 yaisubiri Yanga’

papason

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Posts
5,119
Reaction score
5,698
Kwa kifupi habari yenyewe imehaririwa na kuchapishwa kwenye Gazeti la Habarileo la tarehe 12 Agosti 2016’ likiwa linasomeka ( nanukuu.. )

‘Klabu ya Yanga inakabiliwa na faini ya Sh milioni 128 kwa uzembe wa kuchelewa kufanya usajili wake kwenye mtandao wa kimataifa (TMS).

Yanga ambayo tayari utetezi wake umetua Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), iwapo utakubaliwa klabu hiyo ya mtaa wa Jangwani italazimika kumlipia kila mchezaji dola za Marekani 500 na klabu hiyo ina wachezaji 27 ambao italazimika kuwalipia dola za Marekani 13,500 ( sawa na Sh milioni 128).’

‘Imeandikwa na Vicky Kimaro, Imechapishwa: 12 Agosti 2016’

Mwisho wa kunukuu!

Jamani hivi kweli USD $13,500/ ni sawa na Tsh 128,000,00/ au ni ‘typing error’ ya kawaida?, Jee ilikuwaje mhariri wa habari na yeye akaruhusu ‘typing error’ ya hivi ichapishwe?

Tunategemea toleo la kesho mwandishi wa hii habari pamoja na mhariri wake watauomba umma wa watanzania msamaha na kuiandika habari hii kwa ufasaha!
 
Kwa kifupi habari yenyewe imehaririwa na kuchapishwa kwenye Gazeti la Habarileo la tarehe 12 Agosti 2016’ likiwa linasomeka ( nanukuu.. ) ...

Jamani hivi kweli USD $13,500/ ni sawa na Tsh 128,000,00/ au ni ‘typing error’ ya kawaida?, Jee ilikuwaje mhariri wa habari na yeye akaruhusu ‘typing erro’ ya hivi ichapishwe?

Tunategemea toleo la kesho mwandishi wa hii habari pamoja na mhariri wake watauomba umma wa watanzania msamaha na kuiandika habari hii kwa ufasaha!

Mhariri karuhusu makosa hayo kama wewe ulivyoruhusu makosa kwenye hayo maneno mekundu hapo juu.😛
 
gazeti gani hilo mi sioni la kushangaa hapo kawaida yao
 
Minor Error hata kama si Mpenzi wa hili Gazeti..
 
lipeni au mshushwe daraja nyie bodaboda fc wapuuzi kweli!
 
Back
Top Bottom