Gazeti la Jamhuri: Waziri Mkuu atapeliwa

Waliotapeliwa ni waliokuwa wamejazana msikitini kusubiri kitoweo.

So sad!!!
 
Hakuna cha ''sad'' wala nini. Watu wamezoea vya bure. Kwanza hawa ''wanaosaidia'' watu wana malengo ya ziada.
Juzi dodomier kwenye hafla ya wale wa mabaka, wananchi Si wakatangaziwa wakihudhuria kusanyiko Hilo, kutakuwa na tembo, Simba, twiga nk nk hivyo wakaambiwa waje Kwa wingi.

Wananchi wakaitikia Kwa wingi, walipojaza uwanja, Si lango likafungwa,

Humo ndani hakuna wanyama Wala nn!!

Wananchi walipoona wamedanganywa, wakajaribu Kutoka,

Walizuiwa Kutoka Hadi mkubwa alipomaliza kuhutubu.

Chama kile Kwa hadaa, hawajambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…