Gazeti la KINGO limekufa!!?

Gazeti la KINGO limekufa!!?

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,466
Reaction score
9,038
Wasalaam,

Kwa wale na hasa wapenda cartoon waliokuwa wakisoma gazeti la Kingo nawaombeni kunijuza juu ya kinachoendelea na gazeti hilo.

Nimejaribu kufuatilia kama linaendelea kutoka lakini sijapata majibu yoyote na ninakumbuka ni jinsi gani gazeti hili lilivyokuwa likiwakilisha kazi nzuri kupitia michoro.

Au waandaaji walitiwa msukosuko?

Tafadhali anayefahamu anajuze!

Nashukuru
 
Back
Top Bottom