Huyo ni tapeli wa mjini hana jipya.
Mkuu una habari chuki inazeesha!Li tim la ovyo ovyo hilo linaloendeshwa kiujanja ujanja na matapeli yaliyo kibuhu
πππ Njaa ilikuwa inamsumbua yule.Huyo ni tapeli wa mjini hana jipya.
Pesa mbaya sana. Alikuwa mpinzani wa kampuni hadi Mo alipojiongeza na kumpa chake. Kelele za club kuilea kwa kuuza vitumbua na chapati zikaishia hapo. Sasa ni Board Member. Pesa ni tamu.
Simba wenyewe ndio imani yao,na hao wanaoyaleta ndio waganga wao. Vipi wawakatalie. Nao wakigoma kumpa Kagere hirizi itakuwaje?Hili gazeti letu pendwa matangazo ya freemason yamekuwa mengi,imekuwa kama bango la wale waganga wa jadi na matapeli kuwekea matangazo ya freemason, kila kurasa za kati hadi mwisho hayo matangazo yamejaa na yamekaa kitapeli tu,kwanini wahariri wanaruhusu huo upuuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoa matangazo ndiyo supplier wa tunguri za akina Kagere.