Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

Mnyonge myongeni lakini haki yake mpeni,,,,,,,,,, Mahakama iko wapi, kweli hakuna kazi ya mahakama ............
 
Gazet hilohilo liliandika Lowasa hasafishiki...lakini kwa mshangao walimsafisha wemyewee..siasa gani hizi za udanganyif mchana kweupee
Hakuna tatizo kwa gazeti kuandika leo hivi kesho likaendika vile kulingana na facts linazopata. Wajinga ni wale ambao wanafungia gazeti kwa sababu dhaifu na kila mara wanashindwa kortini! Kuna ubaya gani mwandishi kuhoji nani anastahili maombi kati ya Lissu na Rais provided ameweka hoja zake? Tatizo mmejaa uoga na mko weupe upstairs kukabiliana na hoja za wenzenu, hivyo silaha yenu imebaki kuwa ni bunduki na kufungia vyombo vya habari!
 
Uhuru bila uwajibikaji you endup in anarchy (mpatampatae). Hakuna uhuru usio na mipaka; kwa hili, moja ya hiyo mipaka ni kuandika ukweli. Ukiandika uongo lazima uwe tayari kubeba consequences zake.
Kuna uongo upi katika makala inayohoji nani aombewe-Lissu au Magufuli? Maana hii ndio makala iliyosababisha gazeti lifungiwe na sio kitu kingine!
 
Ok. Ume comment baada ya kuona maelezo na vielelezo vya serikali-sasa kwa mujibu wa maelezo hayo, uhakika ni kwamba serikali imefungia gazeti la Mwanahalisi kutokana na makala (ambayo wao serikali wameiita ni habari) inayohoji nani wa kuombewa-Lissu au Magufuli? Umeridhika gazeti kufungiwa kwa sababu hiyo?
 
Bure kabisa, umesahau habari za kifaru cha Jeshi kuibiwa na watu watatu? .huwezi sema tu waandike kulingana na fact wanazopata. Hakuna taifa la hivyo duniani. Wakipata fact lazima wazithibitishe, hatuwezi kupoteza fedha na muda kununua/kusoma ujinga
 
Bure kabisa, umesahau habari za kifaru cha Jeshi kuibiwa na watu watatu? .huwezi sema tu waandike kulingana na fact wanazopata. Hakuna taifa la hivyo duniani. Wakipata fact lazima wazithibitishe, hatuwezi kupoteza fedha na muda kununua/kusoma ujinga
Ni kiwango chako cha uelewa ndipo kimeishia hapo, hakuna namna ya kukusaidia. Sikiliza, wajinga wanalikomalia Mwanahalisi kuhusiana na Lowasa, lakini wanageuka mabubu kwa serikali ambayo ndio hushughulikia mafisadi. Lowasa baada ya kujiunga Chadema alieleza suala hilo kwa undani ambao hakuwahi kueleza huko nyuma kutokana na "waliokuwa wanautaka uwaziri mkuu" kutompa nafasi. Na ujue kwa kuwa anaheshimu mifumo ya utawala Lowassa hakutaka kuiangusha serikali kupitia suala hilo hivyo kuna mambo hakutaka kuyaeleza na akakubali kujitoa mhanga!

Sasa unalilaumu vipi gazeti ambalo liliandika baaada ya kupata maelezo ya ziada kutoka kwa mhusika? Nini maana ya kuthibitisha taarifa kama unataka tuanzie hapo? Lililo wazi ni kwamba uelewa wako kwenye masuala ya media ni mdogo, basi! hata vyombo vya habari vya kimataifa ambako nadhani hoja yako umeifichia huwa wanaweza kuripoti jambo na baadaye hata kama ni miaka kumi wakipata mambo mapya kutegemeana na suala lenyewe huweza kuripoti kulingana na taarifa hizo mpya. Hili sio jambo la kushangaza. Waulize serikali kwanini hawampeleki Lowassa mahakamani achana na Mwanahalisi katika suala hilo!
 
Bure kabisa, umesahau habari za kifaru cha Jeshi kuibiwa na watu watatu? .huwezi sema tu waandike kulingana na fact wanazopata. Hakuna taifa la hivyo duniani. Wakipata fact lazima wazithibitishe, hatuwezi kupoteza fedha na muda kununua/kusoma ujinga
Hilo suala la habari za kifaru cha jeshi "kuibiwa na watu watatu" unallifananisha na hili la Mwanahalisi? Ulisoma maelezo ya kosa ambalo walisomewa hao watuhumiwa? Acha kuvamia mambo usiyoyajua...
 
Nani kamutuma nkamia, lisasi yakwama kwenye wallet[emoji23][emoji16][emoji3]
 
Mwanahalisi wanadaiwa kumkejeli tena
lengo kubwa zaidi ni lile swali lao la jana kwamba Nani aombewe Magufuli au Lissu?
 
Chuki ikizidi inaenda kwenye uchawi.Uchawi huogopa sana Albadir ndio maana wakaipiga marufuku.
Kwakutumia Quran au kitabu chochote unaweza KutofAutisha uchawi na albadir mliyokuwa mnaifanya?
 
Hilo mbona swali jepesi, wanaoombewa ni wagonjwa, wenye pepo, wenye matatizo, wanaoteswa, wenye hali ngumu ya maisha, n.k. sasa hapo anayefiti kuombewa ni tundu lissu, huyo mwingine kumuombea ni matumizi mabaya ya maombi
 
Jamaa anataka tuombee uchumi hahahaaa kwl wachumi tujuzeni iyo theory ipo kwenye micro au macro economics?
 
Mimi hilo gazeti nilishapoteza iman nalo toka lilivyokuwa lunamsgambulia mh Lowasa miaka ile,halaf ghalfa likageuka kuwa dodoki lakumsafisha Mara baada ya kujiunga cdm.

Walipige ban ya maisha tu
 

habari zao ni "udaku" with lots of opinions. It's like wakisikia tetesi iwe kweli ama vipi wanaijengea hoja na story na maoni...
Kwakweli wacha wapewe muda wa kujitafakari na wengine warudi darasani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…