Gazeti la Mwananchi kama mmefilisika si muache biashara? Kila habari imekuwa Prime, maanake nini?

Gazeti la Mwananchi kama mmefilisika si muache biashara? Kila habari imekuwa Prime, maanake nini?

nicholasmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
630
Reaction score
583
Mwananchi Online limekuwa la hovyo, kila habari tena habari za kawaida tu eti PRIME, kwanza nini maana ya PRIME? Kama biashara imewashinda bora muache tu vinginevyo mnajidhalilisha tu.
 
Mwananchi Online limekuwa la hovyo, kila habari tena habari za kawaida tu eti PRIME, kwanza nini maana ya PRIME? Km biashara biashara imewashinda bora muache tu vinginevyo mnajidhalilisha tu.
Mental illness is so real…. Best of luck with your illness!!
 
Mwananchi Online limekuwa la hovyo, kila habari tena habari za kawaida tu eti PRIME, kwanza nini maana ya PRIME? Km biashara biashara imewashinda bora muache tu vinginevyo mnajidhalilisha tu.
1740396072598.png
 
Nimecheka sana mtoa mada anaweza kuwa mkweli lkn ana jaziba katika uwasilishaji wake
 
Mleta mada anataka awe anasoma magazeti bure sababu yamewekwa online.

Akiambiwa alipie hela anakasirika. Anaponda wenye habari wamefilisika. Huku wenzao wametumia gharama kuitengeneza hiyo habari ambayo yeye anataka aisome bure tu
 
Back
Top Bottom