BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Nimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.