BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
AiseeeHivi ni nani aliwadanganya kuwa MB unapotumia kuperuse wewe basi mwenye mtandao anafaidika,,,,????
Kwani unapompigia simu mtu ukatumia dakika zako, huwa kuna namna uliyempigia simu anapokea gawio eeeeh!??
hii sentensi itoe hapogawio wanalopata kwenye MB tunazotumia
Hivi hizi fikra za watu kudhani tovuti au app zinapata gawio la malipo unayolipa kununua MB mlizitoa wapi?Nimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.
Ikoje mkuu tuelimishe kidogoHivi hizi fikra za watu kudhani tovuti au app zinapata gawio la malipo unayolipa kununua MB mlizitoa wapi?
Hakuna anayelipwa hata 10 kwa kutembelea tovuti au kutumia app yake. Hata jf haipati chochote kwenye malipo ya mb zako same to facebook, instagram na mitandao mingine.
Halafu ni watu wengi huwa wana fikra hii. Model ya monetization ya internet haiko hivyo hata kidogo.
Ela unazipata kwenye matangazo labda kama google adsense, na wengine. Au ya kulipwa moja kwa moja kama unayoyaona hapa jf ina maana wanalipwa moja kwa moja na wenye matangazo hayo.Ikoje mkuu tuelimishe kidogo
hilo gazeti limelewa sifa ya kuwa credible. Hizo habari zilizoandikwa humo wasome wenyeweNimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.
Duh!!!Nimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.
Nimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.