Tukumbushane kile kibonzo wengine itel zetu zilikuwa zimekufa.Wakuu,
Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha.
Bado najiuliza ni zile video tu ndio zilikuwa chanzo au lilikuwa onyo kwa wengine kuufyata, kugeuza shingo pembeni na kuwa kasuku kipindi hiki cha uchaguzi?
Na wengine wakileta uzushi na uchonganishi kama kina Mwanahalisi wapigwe banWakuu,
Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha.
Bado najiuliza ni zile video tu ndio zilikuwa chanzo au lilikuwa onyo kwa wengine kuufyata, kugeuza shingo pembeni na kuwa kasuku kipindi hiki cha uchaguzi?
Magazeti ya CCM?Hii ni kuhakikisha hakuna gazeti linaandika tofauti na yanavyo andika Uhuru na Habari Leo.
View attachment 3140129
Taarifa ya Kwanza iliyochapishwa na Mwananchi tangu kufungiwa
Wakuu,
Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha.
Bado najiuliza ni zile video tu ndio zilikuwa chanzo au lilikuwa onyo kwa wengine kuufyata, kugeuza shingo pembeni na kuwa kasuku kipindi hiki cha uchaguzi?
PIA SOMA
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yasitisha Leseni ya Mwananchi kutoa maudhui mtandaoni kwa siku 30
- Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari!. Media Njaa Inaweza Kuwa Huru?!
Hii ni kuhakikisha hakuna gazeti linaandika tofauti na yanavyo andika Uhuru na Habari Leo.
Uzushi gani walileta Mwananchi?
Waende mahakamani kudai fidia unadhani Serikali ililurupuka? Tafuta sababu utaikutaUzushi gani walileta Mwananchi?
Kwa Nini hiyo Serikali inayolalamika kuwa imezushiwa taarifa ya uongo haikwenda huko Mahakamani kulalamika na badala yake ikajichukulia Sheria mkononi na kulifungia gazeti hilo?Waende mahakamani kudai fidia unadhani Serikali ililurupuka? Tafuta sababu utaikuta