Hawa ndio watu mnaotegemea walinde nchi dah!!! kweli hiki chama chenu kinahitaji la kufumuliwa na kutupwa kabisaa kisionekaneKwa hiyo kama Mina Ally nae anakanusha sio Yeye?
Magazeti yanayo wafulahisha ufipa na nadhani wamelinunua sana leona kujifulahisha na hiyo habali, 😁😁😁😁Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.
Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.
View attachment 2098332
Ewaaaa, tulitaka mmtaje huyo KisandukuGazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.
Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.
View attachment 2098332
Haipo hivyo, haya mambo sio rahisi kihivyo. Nape kipindi yupo ccm Kama kuu unafikiri hawajui waliomuwekea sumu Mwakyembe?Sasa kama huyu Henry kumbe anajulikana kwanini hajashughulikiwa? Au kutishia mtu bastola sio Kosa? Ndio haya haya tunaachia watishiaji watu bastola bila kuwakanya mwisho wa siku wanafanya kweli.
Trigger Happy....
Mwigulu yupo sahihi. Mnapaswa muelewe humu Kuna aina za wwtu tofauti, naishia hapaMwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi
Mtu ambaye hajafahamika akimtishia bastola aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye alipotaka kuzungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. ========= Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema mtu aliyemtishia kwa bastola...www.jamiiforums.com
Anajulikana wala sio kwamba hajulikani. Mwananchi wamemkosea Gilbert kwa kumfananisha na Henry. Japo Gilbert hili suala la mauaji limemchafua sana ila ni moja ya polisi wazuri, ni mzee mwenye busara zakeEwaaaa, tulitaka mmtaje huyo Kisanduku
Ahsante sana[emoji3]
Ffu ukonga kitambo sana cjui kwa ss yupo wapiHenry kassim kisanduku ndo anajiita sniper 001
Haaaahaaaa..uandishi wetu wa habari huu. Kama lengo ni kumpata yule jamaa mbona yupo? Nape amtafute tuGazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.