Gazeti la Mwananchi mbona halifanyi uchambuzi wa wagombea Urais

Gazeti la Mwananchi mbona halifanyi uchambuzi wa wagombea Urais

masare

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,791
Reaction score
1,830
Uchaguzi mkuu uliopita gazeti la Mwananchi kupitia kwa mwandishi wa makala wa kujitegemea Julius Mtatiro lilikua likifanya uchambuzi wa Wagombea pamoja na watarajiwa wa kugombea nafasi ya urais kutoka vyama mbalimbali.

Ilikua ni kama series ya magazeti kutoka na makala ya mhusika mmojawapo.

Lakini kwenye uchaguzi huu sijaona uchambuzi wowote wa wagombea wa urais.

Kulikoni Mwananchi -Gazeti linaloongoza kwa mauzo pamoja na circulation Tanzania nzima.
 
Sasa mwenye ruhusa/Kibali cha kufanya uchambuzi huo ni jamaa mmoja anaitwa MUSIBA.
 
Mwananchi hayafai hata kuenda nayo chooni
 
Hilo gazeti mimi nikishaacha kitambo kulisoma. Lina mambo ya ajabu ajabu tu
 
Back
Top Bottom