Uchaguzi mkuu uliopita gazeti la Mwananchi kupitia kwa mwandishi wa makala wa kujitegemea Julius Mtatiro lilikua likifanya uchambuzi wa Wagombea pamoja na watarajiwa wa kugombea nafasi ya urais kutoka vyama mbalimbali.
Ilikua ni kama series ya magazeti kutoka na makala ya mhusika mmojawapo.
Lakini kwenye uchaguzi huu sijaona uchambuzi wowote wa wagombea wa urais.
Kulikoni Mwananchi -Gazeti linaloongoza kwa mauzo pamoja na circulation Tanzania nzima.
Uhuru wa kujieleza haupo, magazeti mengi yamefungiwa,waandishi wengi wameamua kukaa kimya,nchi yote gazeti ni Uhuru,na TBC 'CCM yaani ni udikteta juu ya udikteta