Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Waulize Mwananchi waliochapisha habari hiyo.Gazeti la Mwananchi katika habari yake ya leo inayohusu list ya walioteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM mkoa wa Mwanza limeandika mgombea jimbo la Morogoro ni Kafiti, hilo jimbo liko wapi kule Mwanza.
Wamefanya maksudi iwe agenda na imepuuzwa wamewarudisha na kuwakata watu ili iwe agenda na wamepuuuzwaGazeti la Mwananchi katika habari yake ya leo inayohusu list ya walioteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM mkoa wa Mwanza limeandika mgombea jimbo la Morogoro ni Kafiti, hilo jimbo liko wapi kule Mwanza.
Tuhakikishie kama wamechapisha habari unayoisemaWaulize Mwananchi waliochapisha habari hiyo.