Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wiki iliyopita Msemaji wa Serikali ya Tanzania alitembelea ofisi za Mwananchi na kupokelewa na kiongozi wa gazeti hilo
Je huu ndio Uzushi Waliokubaliana kuuandika kwenye gazeti lao?
Ni wapi ambapo Freeman Mbowe alitangaza kugombea Urais wa Tanzania?
Natangaza rasmi kulidharau gazeti hili katika muda huu mfupi lililosaliwa nao hapa duniani .