Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Uzushi mtupu.huu ndio Uzushi Waliokubaliana kuuandika kwenye gazeti lao
WamelipwaUzushi mtupu.
kwani Lisu alitangaza wapi kabla ya kubanwa na vyombo vya habari juzi na jana?🐒Wiki iliyopita Msemaji wa Serikali ya Tanzania alitembelea ofisi za Mwananchi na kupokelewa na kiongozi wa gazeti hilo
Je huu ndio Uzushi Waliokubaliana kuuandika kwenye gazeti lao?
View attachment 3073677
Ni wapi ambapo Freeman Mbowe alitangaza kugombea Urais wa Tanzania?
Natangaza rasmi kulidharau gazeti hili katika muda huu mfupi lililosaliwa nao hapa duniani .
Umesoma ndani? Ficha ujinga wakoWiki iliyopita Msemaji wa Serikali ya Tanzania alitembelea ofisi za Mwananchi na kupokelewa na kiongozi wa gazeti hilo
Je huu ndio Uzushi Waliokubaliana kuuandika kwenye gazeti lao?
View attachment 3073677
Ni wapi ambapo Freeman Mbowe alitangaza kugombea Urais wa Tanzania?
Natangaza rasmi kulidharau gazeti hili katika muda huu mfupi lililosaliwa nao hapa duniani .
Tayari nishakuweka kwenye Ignore List, kuhangaika na wajinga ni kupoteza muda, kwaheri ya kutokuonanaChama ni Mbowe...na Mbowe ndiye chama.....
Kipindi hichi watu aina ya Lowassa(assets in Mbowe's voice)hawapo.....
Washenga hawatakuwa na kazi....kifuatacho ni yeye tu....yeye atakayesimama.....
Kumsimamisha TL ndio bomu zaidi....
Mzee wangu mmoja alipata kuniambia kuwa "watu wasiotabirika ni hatari sana...."...TL hatabiriki...hajali chochote....lolote linaweza kumtoka muda wowote....
Ni bora ya Julius Malema wa EFF ya SA....ana ajenda na si mh.Tundu Lissu.....
Wewe ulilipwa na nani ulipomsingizia Makonda kuwa ana mdororo wa siha ?!! [emoji1787]
#Nchi Kwanza[emoji7]
Unahangaika sana hayo ndio malipo yenu!Wiki iliyopita Msemaji wa Serikali ya Tanzania alitembelea ofisi za Mwananchi na kupokelewa na kiongozi wa gazeti hilo
Je huu ndio Uzushi Waliokubaliana kuuandika kwenye gazeti lao?
View attachment 3073677
Ni wapi ambapo Freeman Mbowe alitangaza kugombea Urais wa Tanzania?
Natangaza rasmi kulidharau gazeti hili katika muda huu mfupi lililosaliwa nao hapa duniani .
Gazeti la Mwananchi ndilo gazeti kiongozi la Kiswahili linaloongoza nchini Tanzania, huwezi kulidharau, ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga, na usipoyaoga, yatakuosha siku ya siku!.Natangaza rasmi kulidharau gazeti hili katika muda huu mfupi lililosaliwa nao hapa duniani .
Mwananchi hawaandiki UZUSHI labda wameandika kitu usichokijuaWamelipwa
Walishajifia wanatafuta soko kwa KULAZIMISHAWiki iliyopita Msemaji wa Serikali ya Tanzania alitembelea ofisi za Mwananchi na kupokelewa na kiongozi wa gazeti hilo
Je huu ndio Uzushi Waliokubaliana kuuandika kwenye gazeti lao?
View attachment 3073677
Ni wapi ambapo Freeman Mbowe alitangaza kugombea Urais wa Tanzania?
Natangaza rasmi kulidharau gazeti hili katika muda huu mfupi lililosaliwa nao hapa duniani .
HojaWalishajifia wanatafuta soko kwa KULAZIMISHA
Thibitisha sasa kama walichoandika ni ukweliMwananchi hawaandiki UZUSHI labda wameandika kitu usichokijua
Mwananchi nalo limekuwa gazeti la kitapeli snThibitisha sasa kama walichoandika ni ukweli
Kwani wewe ni nani kwa Mbowe mpaka ujuwe maongezi yooote anayoongea?Wiki iliyopita Msemaji wa Serikali ya Tanzania alitembelea ofisi za Mwananchi na kupokelewa na kiongozi wa gazeti hilo
Je huu ndio Uzushi Waliokubaliana kuuandika kwenye gazeti lao?
View attachment 3073677
Ni wapi ambapo Freeman Mbowe alitangaza kugombea Urais wa Tanzania?
Natangaza rasmi kulidharau gazeti hili katika muda huu mfupi lililosaliwa nao hapa duniani .
Lissu katamka hadharani, na Mbowe katamkia wapi?Kwani wewe ni nani kwa Mbowe mpaka ujuwe maongezi yooote anayoongea?
Unatutia wasiwasi sasa. Hata Joyce Mukya hajui kila kitu
Ngoja Mbowe mwenyewe ajibuLissu katamka hadharani, na Mbowe katamkia wapi?