Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo utafiti wameufanyia lini na wapiGazeti la Mwangaza, linaangaza kila mahala Jumatano ya tarehe 27 Agosti, 2024.
Hivi ndio miongoni mwa Vigazeti Uchwala vilivyoanzishwa kwa lengo mahsusi la kufanya propaganda za 'Kusifu na Kuabudu watawala'Gazeti la Mwangaza, linaangaza kila mahala Jumatano ya tarehe 27 Agosti, 2024.
Binafsi huwa napenda kujiridhisha. Nimejaribu kuitafuta report ya Afrobarometa ya mwaka huu. Ni ripoti ina vitu vingi vizuri na changamoto kubwa za uongozi Afrika. Tanzania tumetajwa vizuri na zipo changamoto pia za kuzifanyia kazi.🙏🙏🙏Huo utafiti wameufanyia lini na wapi
Matangopori
Mbona hizi taarifa kama gazeti la Msiba
Hilo ni gazeti ambalo limeanzishwa katika nyakati hizi za Siasa za Uchaguzi ili kuweza kufanya 'Spinning Propaganda' za kusifu na kuabudu watawala sambamba na kuwavuruga Wananchi kifikra. Just like a Mind Control Tactics ili kuwapumbaza Watu.Chawa wanapotosha watu waamini huo uongo