Gazeti la Mzalendo: kuhusu ulazimishaji chanjo ya Corona, Chadema yapondwa kila kona

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,386
Reaction score
5,325
Kauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake.

Watanzania wengi wameendelea kuungana na rais Samia kuwa chanjo hiyo iwe ya hiari.

20210725_094853.jpg
 
Watanzania wengi wameendelea kuungana na rais Samia kuwa chanjo hiyo iwe ya hiari.View attachment 1867395
Hata wahariri wa Cyprian walikuwa hivi
 
Usisahau kichwa Cha habari Nipashe juu ya kufuru ya ATCL kujilipa mabilioni,
 
Safi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua
Hizo chanjo wachanjwe chadema wote kwanza.
 
Kauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake.
Watanzania wengi wameendelea kuungana na rais Samia kuwa chanjo hiyo iwe ya hiari.View attachment 1867395
Mkiambiwa nyinyi Akili ndogo hamwoni mbali
 
Tukiwaitaga nyie nyumbu hua mnabisha Sana ona Sasa Kiko wapi ndio kwanza madame prezidaa anadungwa chanjo taratibuuuu!

Mods tunaomba muiondoe ban ya huyu Mataga aje aaibike hapa hapa
😂😂😂😂😂😂😂
 
Kauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake.
Watanzania wengi wameendelea kuungana na rais Samia kuwa chanjo hiyo iwe ya hiari.View attachment 1867395
Hilo nalo ni gazeti?!!pambaneni na gwajima mbona mnamuogopa?kwa mtu mwenye akili japo za kuendea chooni tu, kati ya mbowe na huyo gwajima nani ambaye kauli yake ni hatari zaidi?!!hebu wenye programe ya , ubongo wako tuwaombe wabadirishe jina, watoe la mbowe waweke hata la amba ruty!!kwani kila kitu ni mbowe tu.
 
Chanjo ni lazima ni suala la muda tu. Itafika wakati hutarusiwa kupata huduma maofisini na shuleni na vyuoni kama hujapata chanjo.
 
Kauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake.

Watanzania wengi wameendelea kuungana na rais Samia kuwa chanjo hiyo iwe ya hiari.

View attachment 1867395
He!!! Hili gazeti bado lipo!!!! Nililisahau kwa kweli!
 
Mbowe alichemka.

Mimi naelewa kwamba chanjo inasaidia sana.

Lakini naelewa kwamba kila mtu aachiwe uhuru wake wa kuamua achanjwe au asichanjwe.

Kama mimi ninayependa chanjo nisivyotaka mtu anilazimishe nisichanje, sitaki kumlazimisha mtu asiyetaka kuchanja achanjwe.

Wataalam watoe elimu, watu wapate habari sahihi na kamili, waamue kuchanja au kutochanja kwa hiyari.
 
Alichemka mno mno mno
 
Back
Top Bottom