Hata wahariri wa Cyprian walikuwa hiviKauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake.
Watanzania wengi wameendelea kuungana na rais Samia kuwa chanjo hiyo iwe ya hiari.View attachment 1867395
Hoja gani wewe reject?!Jikite kwenye hoja
Mkiambiwa nyinyi Akili ndogo hamwoni mbaliKauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake.
Watanzania wengi wameendelea kuungana na rais Samia kuwa chanjo hiyo iwe ya hiari.View attachment 1867395
haaahaa mkuu naomba mods waiondoe hiyo ban ya mataga aje hapa ashuhudie kinachoendelea nadhani atatamani ardhi ipasuke!Mkiambiwa nyinyi Akili ndogo hamwoni mbali
Hilo nalo ni gazeti?!!pambaneni na gwajima mbona mnamuogopa?kwa mtu mwenye akili japo za kuendea chooni tu, kati ya mbowe na huyo gwajima nani ambaye kauli yake ni hatari zaidi?!!hebu wenye programe ya , ubongo wako tuwaombe wabadirishe jina, watoe la mbowe waweke hata la amba ruty!!kwani kila kitu ni mbowe tu.Kauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake.
Watanzania wengi wameendelea kuungana na rais Samia kuwa chanjo hiyo iwe ya hiari.View attachment 1867395
He!!! Hili gazeti bado lipo!!!! Nililisahau kwa kweli!Kauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake.
Watanzania wengi wameendelea kuungana na rais Samia kuwa chanjo hiyo iwe ya hiari.
View attachment 1867395
Alichemka mno mno mnoMbowe alichemka.
Mimi naelewa kwamba chanjo inasaidia sana.
Lakini naelewa kwamba kila mtu aachiwe uhuru wake wa kuamua achanjwe au asichanjwe.
Kama mimi ninayependa chanjo nisivyotaka mtu anilazimishe nisichanje, sitaki kumlazimisha mtu asiyetaka kuchanja achanjwe.
Wataalam watoe elimu, watu wapate habari sahihi na kamili, waamue kuchanja au kutochanja kwa hiyari.