N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Jana Waziri wa Fedha akitoa muono wa Bajeti ya Serikali na kuhitimisha Hoja ya Bajeti Kuu ya Serikali aliwataja watu maarufu Watatu kuwa Mabalozi wa Kulipa Kodi ambao ni
- Hamisa Mobeto (Mwanamitindo na Mwigizaji)
- Eddo Kumwembe na
- Mbwana Samatta mwanakabumbu wetu TZ huku kimataifa