Ndugu yangu Samata wengi wa mashabiki zako kunabaadhi ya kodi hawakubaliani nazo, mfano kodi hii ya laini za simu nadhani wewe kuwa balozi wa kuhamasisha kulipa kodi utakuwa unahamasisha pia kodi ya laini za simu, kiukweli kitendo hicho hakitowaridhisha mashabiki zako wengi wao ndio vijana watumiaji simu.Jana Waziri wa Fedha akitoa muono wa Bajeti ya Serikali na kuhitimisha Hoja ya Bajeti Kuu ya Serikali aliwataja watu maarufu Watatu kuwa Mabalozi wa Kulipa Kodi ambao ni
- Hamisa Mobeto (Mwanamitindo na Mwigizaji)
- Eddo Kumwembe na
- Mbwana Samatta mwanakabumbu wetu TZ huku kimataifa
Sasa ni kwanini gazeti la Nipashe leo tarehe 23/06/2021 kwenye stori yenu hamkumtaja Eddo Kumwembe na badala yake mmewataja hao wawili tu? tena mkiwawekea na kichwa cha habari kabisa kwenye hiyo stori...acheni 'ushamba' na substandards kwenye news coverage zenu be professional. Au mna bifu nae?!!!
Yawezekana ni kwasababu anatokea ( anafanya Kazi ) katika Gazeti 'Shindani' na Wao la Mwananchi na Mwanaspoti la Michezo. Hata hivyo 'Professionally' Nipashe hapa wamekosea na huu siuiti tu ni Ushamba ( Umbwiga ) bali nauita ni Upumbavu ( Upopoma ) kabisa.Jana Waziri wa Fedha akitoa muono wa Bajeti ya Serikali na kuhitimisha Hoja ya Bajeti Kuu ya Serikali aliwataja watu maarufu Watatu kuwa Mabalozi wa Kulipa Kodi ambao ni
- Hamisa Mobeto (Mwanamitindo na Mwigizaji)
- Eddo Kumwembe na
- Mbwana Samatta mwanakabumbu wetu TZ huku kimataifa
Sasa ni kwanini gazeti la Nipashe leo tarehe 23/06/2021 kwenye stori yenu hamkumtaja Eddo Kumwembe na badala yake mmewataja hao wawili tu? tena mkiwawekea na kichwa cha habari kabisa kwenye hiyo stori...acheni 'ushamba' na substandards kwenye news coverage zenu be professional. Au mna bifu nae?!!!
Kwamba vijana wasilipe kodi. Nchi itaendeshwaje. Basi washauriwe kuhamia nchi ambayo haealipishwi kodi. Kama kodi kwa vijana ni kero.Ndugu yangu Samata wengi wa mashabiki zako kunabaadhi ya kodi hawakubaliani nazo, mfano kodi hii ya laini za simu nadhani wewe kuwa balozi wa kuhamasisha kulipa kodi utakuwa unahamasisha pia kodi ya laini za simu, kiukweli kitendo hicho hakitowaridhisha mashabiki zako wengi wao ndio vijana watumiaji simu.
Jamaa yupo specific kabisa mkuu, ni hujamuelewa tu, anashangaa kwanini hilo gazeti liwataje mabalozi wawili wakati walioteuliwa ni watatuUlitaka waiandike hotuba yote ya mheshimiwa waziri?
Soma vizuri nilicho Kiandika, kodi niliozugumzia ha kuikosoa hapo ni ya laini za simu tu.Kwamba vijana wasilipe kodi. Nchi itaendeshwaje. Basi washauriwe kuhamia nchi ambayo haealipishwi kodi. Kama kodi kwa vijana ni kero.
Hivi eeh! Kwani amekujaUnaota amka kumekucha