Gazeti la Raia Mwema, kulikoni?

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu, siku za karibuni ni kama limejiunga na machawa. Kila wiki lazima ziwepo habari za kusifia rais na Serikali yake kama vile wameshuka kutoka mbinguni. Hata mkongwe Generali ameangukia humo.

Je, na utamu wa asali au kwa vile rais ni "mwenzetu"?
 
Habari zimfikie Musiba popote alipo
 
Kama kuna mazuri yaliyofanyika ndani ya nchi, ambayo yalikwama kufanyika kipindi cha mwenda zake, kuna ubaya gani gazeti la Raia Mwema wakisifia?

Au wewe, unaumia nini wakisifia? Nyie ndo mnaokwamisha maendeleo ndani ya nchi hii, una ajenda yako ya siri ndani ya hili andiko lako.

Vijana tujikite kwenye kuhamasisha amani na umoja wakitaifa, tuache ujuaji uchwara, unapata raha/faida gani kwa kuchonganisha watu ndani ya nchi

Hauna utofauti na Cyprian Musiba, kipindi cha mwenda zake lakini pia unapaswa kubadilika siasa za aina zako zilishapitwa na wakati, toka mwenda zake aondoke ok
 
Zamani nilikuwa mpenzi sana wa kusoma magazeti! Ila kwa sasa nitakuwa muongo. Nafikiri awamu ya 5, ilinisaidia sana kuondokana na huu uraibu.
 
Kama hujui mzee Twaha aka ulimwengu ni Muslims pro max yeye na zito udini Udini tu

USSR
 
Zamani nilikuwa mpenzi sana wa kusoma magazeti! Ila kwa sasa nitakuwa muongo. Nafikiri awamu ya 5, ilinisaidia sana kuondokana na huu uraibu.
Kwa nini

USSR
 
Kama hujui mzee Twaha aka ulimwengu ni Muslims pro max yeye na zito udini Udini tu

USSR
Nilijua hilo ila nililiweka kwenye ukyuba
 

Ndugu mwashambwa ni mmoja wa wahariri hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…