Gazeti la Risasi na story ya Asprin

Nirudishie bwana....siunaona nlivyopoteza mabusara nimekua mchachu sana.....?!Alafu we umenikumbusha maporini...dah sitakaa niisahau ile safari!
MmmhhhhNiachie na mimi ni suuze kidogoKhaaaa we huona mpaka ntapata mume " Ivuga"Hahahaha lol Hahaha miaka hiyo ya 80duuhh basi ni la Mtei tu Cheki linavyo jaa .. Ukifika Dongob kutola BBT huna hamuHala hakuna choo kwenye standi dongob hahahaha lol
 
Kusoma sio tatizo tatizo ni how serious utayachukuliayale uliyoyasoma kwenye gazeti kama hilo. Bila kuyasoma utajuaje na kuyatofautisha?
haya bhana....
 
MmmhhhhNiachie na mimi ni suuze kidogoKhaaaa we huona mpaka ntapata mume " Ivuga"Hahahaha lol Hahaha miaka hiyo ya 80duuhh basi ni la Mtei tu Cheki linavyo jaa .. Ukifika Dongob kutola BBT huna hamuHala hakuna choo kwenye standi dongob hahahaha lol
Yani we usuuze wakati mi nafulia???!SITAKI!!AHAHAHA...kama ulikuwepo...basi lilivyotuharibikia msituni ndo ilikua balaa.Dah inabidi nikapande ile milima tena siku moja...utanipeleka!!!
 
Yani we usuuze wakati mi nafulia???!SITAKI!!AHAHAHA...kama ulikuwepo...basi lilivyotuharibikia msituni ndo ilikua balaa.Dah inabidi nikapande ile milima tena siku moja...utanipeleka!!!
Kazi yako kuanika tu..Au hutaki hata hiyoMaana we mtoto kwa madoidoUmejaliwa..Mmmhh mlima upi wa Bashnet?Halafu hapo bado hujasukuma gariLipande mlima mnatembea nyuma ya basi kamakilometer 5 hivi..Mnabeba basi badala liwabebe nyieHahaha lol raha kweli kweli ...
 
mmh! imetokea kweli? duh! sina mazoea ya kusoma magazeti ya shigongo thats why sijalipata hili mapema. Nadhani ukanjanja ktk tansia ya habari bado ni tatizo bongo, uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana! Mkuu ASPRIN hebu chek na modes tujue taratibu za kuwa sue hao, this is against intellectual property!
 
Hahahah....SITAKI!!Na mimi nataka kuosha na kusuuza kama wewe!!Heheheh huo huo....yani tulitoka BBT asubuhi mida sijui ya saa sita sita hivi basi likawa mzoga tulikaa mpaka jioni.Mvua ikanyesha...hamna cha maji ya kunywa wa chakula watu wanalalamika.Bahati nzuri sie tulikua tumefungasha ikabidi tuwagawie wengine kidogo kidogo...alafu kuna mtu alikua amebeba makreti nadhani mawili ya soda tukagawiwa tupunguze kiu na njaa.Ila tulivyofika Hanang (nadhani) tukakuta tunasubiriwa na ugali mlainiiii na nyama ya mbuzi...mauchovu yote ya safari yakasahaulika!!
 
Kumbe nikitumia Nyama ya Mbuzi naweza kukupata wewe teh! Huyoo kakamatika!
 
c mngenitafuta hapa BBT karibu na kituo cha polisi nimejaa tele hapa.
 
Hahahahaha Dahh we mtoto umenikumbushaNa kunipa raha sana.. halafu mi Ndo napatA lunch sasa hiyo nyama yaMbuzi mmhhh Leo ni mimi na " mawazo tu ' lolzwaonaje kama tukiandika kitabu cha upande ule wa TZ?? Kitabu kita baseKwenye experience za watu. .. tutafanya research ya kutoshaKabla hatuja anza kukiandika...
 
Hahahaha....kumbe Ivuga ni ri afande furani....?!
hapana....mimi ni mjasiriamali..kwani kukaa karibu na mahakama ndio kujua sheria?
hahaaaaa.btserious nxt tym u hv to find there
nipo tele...sina kitambi.
 
Mmh! Lunch muda huu duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…