The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Limelamba asali
Hujalazimishwa kulisoma wewe kasome vijarida vyenu vya kina HabibuHili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea kwenye nchi yetu
Naomba wenye kujua nini kimewapata hawa jamaa. Je wamebadili sera? Hakuna maovu tena? Wameondokewa na waandishi mahiri? Wamenunuliwa na serikali? Au uoga tu.?
Nawaona sukuma gang mmekasilika nusu kupasuka shenzi
Gazeti ndo limetoka kufungiwa. Wapeni muda wajipange kwanza. Isitoshe Delilah na kundi lake la akina Kigogo ndo wako madarakani sasa hivyo siri za serikali hazivuji hovyo hovyo tena. Gazeti litaibua siri gani tena?Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea kwenye nchi yetu
Naomba wenye kujua nini kimewapata hawa jamaa. Je wamebadili sera? Hakuna maovu tena? Wameondokewa na waandishi mahiri? Wamenunuliwa na serikali? Au uoga tu.?
Sukuma Gang mna gubu kweli kama vipi rudini kwenu BurundiHili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea kwenye nchi yetu
Naomba wenye kujua nini kimewapata hawa jamaa. Je wamebadili sera? Hakuna maovu tena? Wameondokewa na waandishi mahiri? Wamenunuliwa na serikali? Au uoga tu.?
Mkuu. Unaporomosha matusi kwa ajili ya hiyo katuni?Nawaona sukuma gang mmekasilika nusu kupasuka shenzi
Acha propaganda uchwara wewe. Sasa kama mambo waliyokuwa wakiyalalamikia yameanza kufanyiwa kazi, ulitaka waendelee na uandishi uleule? Elewa Nchi iko kwny mchakato wa maridhiano. Ni win-win situation/Yaani give and take.Limelamba asali
Acha propaganda uchwara wewe. Sasa kama mambo waliyokuwa wakiyalalamikia yameanza kufanyiwa kazi, ulitaka waendelee na uandishi uleule? Elewa Nchi iko kwny mchakato wa maridhiano. Ni win-win situation/Yaani give and take.Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea kwenye nchi yetu
Naomba wenye kujua nini kimewapata hawa jamaa. Je wamebadili sera? Hakuna maovu tena? Wameondokewa na waandishi mahiri? Wamenunuliwa na serikali? Au uoga tu.?
Acha propaganda uchwara wewe. Sasa kama mambo waliyokuwa wakiyalalamikia yameanza kufanyiwa kazi, ulitaka waendelee na uandishi uleule? Elewa Nchi iko kwny mchakato wa maridhiano. Ni win-win situation/Yaani give and take.Limelamba asali
Kwani Absalom Kibanda anafanya kazi gazeti gani?Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea kwenye nchi yetu
Naomba wenye kujua nini kimewapata hawa jamaa. Je wamebadili sera? Hakuna maovu tena? Wameondokewa na waandishi mahiri? Wamenunuliwa na serikali? Au uoga tu.?
Anzisha Gazeti lako Kama unalakuandika ambalo Tanzania Daima hawaliandiki....Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea kwenye nchi yetu
Naomba wenye kujua nini kimewapata hawa jamaa. Je wamebadili sera? Hakuna maovu tena? Wameondokewa na waandishi mahiri? Wamenunuliwa na serikali? Au uoga tu.?
VIROBOTO wa DelilahAcha propaganda uchwara wewe. Sasa kama mambo waliyokuwa wakiyalalamikia yameanza kufanyiwa kazi, ulitaka waendelee na uandishi uleule? Elewa Nchi iko kwny mchakato wa maridhiano. Ni win-win situation/Yaani give and take.
Acha pro
Acha propaganda uchwara wewe. Sasa kama mambo waliyokuwa wakiyalalamikia yameanza kufanyiwa kazi, ulitaka waendelee na uandishi uleule? Elewa Nchi iko kwny mchakato wa maridhiano. Ni win-win situation/Yaani give and take.
Kwa hiyo hata kupanda kwa bei ya nondo, Bati, saruji, bando za internet, mafuta ya kupikia, mbolea n.k wameridhiana ikae kama ilivyo? Asali wamelamba.Acha propaganda uchwara wewe. Sasa kama mambo waliyokuwa wakiyalalamikia yameanza kufanyiwa kazi, ulitaka waendelee na uandishi uleule? Elewa Nchi iko kwny mchakato wa maridhiano. Ni win-win situation/Yaani give and take.
Wewe umekatazwa kuyaandikia? Walifungiwa ukashangalia, wamefunguliwa unata kuwapangia cha kuandika, ninyi watu hamueleweki.Kwa hiyo hata kupanda kwa bei ya nondo, Bati, saruji, bando za internet, mafuta ya kupikia, mbolea n.k wameridhiana ikae kama ilivyo? Asali wamelamba.