Idofu Senior Member Joined Oct 24, 2022 Posts 116 Reaction score 199 May 24, 2023 #1 Nauliza tu kwa wanaojua, hivi gazeti la Tanzania Daima wamebadili jina na kujiita Gazeti la Demokrasia? Au ni magazeti mawili tofauti? Kama ndio kwa nini gazeti la Tanzania Daima halipo sokoni siku hizi?
Nauliza tu kwa wanaojua, hivi gazeti la Tanzania Daima wamebadili jina na kujiita Gazeti la Demokrasia? Au ni magazeti mawili tofauti? Kama ndio kwa nini gazeti la Tanzania Daima halipo sokoni siku hizi?
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 May 24, 2023 #2 Huenda wameamua kubadilisha upepo.
Idofu Senior Member Joined Oct 24, 2022 Posts 116 Reaction score 199 May 24, 2023 Thread starter #3 Hata Magazeti ya Mtanzania na Rai hayaonekani sokoni!!