kimu mazengo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 927
- 733
Cha ajabu,kama ingekuwa gazeti la Tanzania daima lingefungiwa ,lakin hiki cha vitumbua kimeachwa!!Huwa unafatilia hicho kijarida cha kufungia vitumbua?
Hilo ni zengwe LA kisiasa.mbona n kweli na hata picha ipo apo...
wewe unadhani watu hawa wanakutana kujadili nini, mmoja alishastafu siasa, mwingine n mpinzani haswa, na uyu nae sina ata haja ya kumueleza, yaani hamna hata kitu wanachoshea ktk maisha yao, sasa wamekutana kufanya niniHilo ni zengwe LA kisiasa.
Musiba kazi ya siasa hawezi.gazeti lake ni kichaka cha uhuni mtupu.wewe unadhani watu hawa wanakutana kujadili nini, mmoja alishastafu siasa, mwingine n mpinzani haswa, na uyu nae sina ata haja ya kumueleza, yaani hamna hata kitu wanachoshea ktk maisha yao, sasa wamekutana kufanya nini