IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuwai siti actually mwandishi wa hilo gazeti ndio kamix madawaDuuuu sijaelewa Unamaanaa gan??? lakin nimewai siti nitafaidi
Soma habari kijana usipende kukurupuka baada ya kusoma kichwa cha habari.Hongera kwa kuwai siti actually mwandishi wa hilo gazeti ndio kamix madawa
Hapana boss aliomba radhi ni koteiSoma habari kijana usipende kukurupuka baada ya kusoma kichwa cha habari.
Gadiel Michael alimchezea rafu Kotei na alichofanya Kotei ni ku react kutokana na kile alichofanyiwa na Gadiel Michael.
So G. Michael ameomba radhi kwa kitendo chake japo Kotei nae alifanya kosa naye alishaomba msamaha kwa kosa lake.