Gazeti la Tanzanite bwana [emoji23][emoji23]

Duuuu sijaelewa Unamaanaa gan??? lakin nimewai siti nitafaidi
 
Hongera kwa kuwai siti actually mwandishi wa hilo gazeti ndio kamix madawa
Soma habari kijana usipende kukurupuka baada ya kusoma kichwa cha habari.

Gadiel Michael alimchezea rafu Kotei na alichofanya Kotei ni ku react kutokana na kile alichofanyiwa na Gadiel Michael.

So G. Michael ameomba radhi kwa kitendo chake japo Kotei nae alifanya kosa naye alishaomba msamaha kwa kosa lake.
 
Hapana boss aliomba radhi ni kotei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…