Mkuu kama bado linasomwa na wanaccm wenyewe basi bado lina soko! Takwimu zao za magumashi ni 5milioni, wanachama wote wa ccm, toa milion 4 waliochukuliwa na upepo mkubwa wa M4c. Kama wanachapa nakala 2000 toa labda nakala 100 zinazogaiwa bure kwenye ofisi na vituo vya redio na runinga. Mauzo ya kusuasua ya nakala 1900 kwa Tanzania nzima sio mchezo.
Gazeti moja ni 500 mara 1900 = 950,000/= toa gharama za uendeshaji na uchapaji.
Bila shaka wanaweka kibindoni 1500 kama faida kwa siku ambayo ni magazeti matatu. Moja FF, Lingine Nape, na lingine shibuda.
Watafika tu, kila jambo na wakati.