Elections 2010 Gazeti la uhuru wanakwepa kusimamia ukweli au kuwajibika? - ona maoni waliyoacha

Elections 2010 Gazeti la uhuru wanakwepa kusimamia ukweli au kuwajibika? - ona maoni waliyoacha

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
492
Reaction score
149
Katika hali ya kushangaza gazeti la uhuru wamekanusha kuendesha maoni yaliyokuwa yanahoji utendaji wa serikali. Kwa sasa imeondolewa. Na wanasema hawaendeshi maoni ya aina hiyo.
Cha ajabu ni kwamba bado katika tovuti yao kuna kura nyingine ya maoni kuhusiana na Utunzaji wa Mazingira hapa Dar es Salaam. Aina ya maswali yaliyoko hapo ni yale yale yaliyokuwa yakiuliza uongozi.
Je haya ya mazingira nayo yamechakachuliwa? Kama si kwa nini yanafanana mtindo wake?
Kama yamechakachuiwa mbona wameyaacha.

Jioneee mwenyewe hapa chini
Ni wajibu wa Kila Mwananchi 3 37.5%
Itafutiwe Mzabuni 2 25%
Manispaa Ziwajibishwe 2 25%
Ni wajibu wa Manispaa za Jiji 1 12.5%
Inaridhisha na Ibaki ilivyo 0 0%

Number of Voters : 8 First Vote : Tuesday, 05 October 2010 16:42 Last Vote : Wednesday, 06 October 2010 02:54
Uhuru Publications Ltd - Gazeti Uhuru, Mzalendo na Burudani
Kama imechakachuliwa basi pia wanahitaji kuwajibika. Inakuwaje mtandao unaoangaliwa kila siku uwe unatoa maoni ukurasa wa mbele hadi wafikie wageni mamia watendakazi wasione?
Kuna haja ya kuwajibika aidha kuwa wakweli na kusimamia ukweli. AU KUWAJIBIKA KWA UZEMBE KATIKA KAZI.
KWA VYOVYOTE KUNA MASWALI YA KUJIBU.
 
katika hali ya kushangaza gazeti la uhuru wamekanusha kuendesha maoni yaliyokuwa yanahoji utendaji wa serikali. Kwa sasa imeondolewa. Na wanasema hawaendeshi maoni ya aina hiyo.
Cha ajabu ni kwamba bado katika tovuti yao kuna kura nyingine ya maoni kuhusiana na utunzaji wa mazingira hapa dar es salaam. Aina ya maswali yaliyoko hapo ni yale yale yaliyokuwa yakiuliza uongozi.
Je haya ya mazingira nayo yamechakachuliwa? Kama si kwa nini yanafanana mtindo wake?
Kama yamechakachuiwa mbona wameyaacha.

Jioneee mwenyewe hapa chini
ni wajibu wa kila mwananchi 3 37.5%
itafutiwe mzabuni 2 25%
manispaa ziwajibishwe 2 25%
ni wajibu wa manispaa za jiji 1 12.5%
inaridhisha na ibaki ilivyo 0 0%

number of voters : 8 first vote : Tuesday, 05 october 2010 16:42 last vote : Wednesday, 06 october 2010 02:54
uhuru publications ltd - gazeti uhuru, mzalendo na burudani
kama imechakachuliwa basi pia wanahitaji kuwajibika. Inakuwaje mtandao unaoangaliwa kila siku uwe unatoa maoni ukurasa wa mbele hadi wafikie wageni mamia watendakazi wasione?
Kuna haja ya kuwajibika aidha kuwa wakweli na kusimamia ukweli. Au kuwajibika kwa uzembe katika kazi.
Kwa vyovyote kuna maswali ya kujibu.
au ndo kuajiliwa kwa mtoto wa mjomba, mimi sikubaliani nalo kwa hili inawezekanaje watu wakafika zaidi ya 100 kutoa maoni wewe unasema umehujumiwa. Je tz ni nchi ya wasanii!? Shame on you uhuru!
 
Hiyo poll iliyoondolewa ni ya kwao Uhuru na inawezekana kabisa walishinikizwa kuweka kura hiyo na Wakubwa wa CCM (kama walivyofanya kwenye Daily News na baada ya kuonyesha kuwa Dk Slaa mshindi wakishinikizwa kuandika maoni ya ajabu kwenye gazeti la Daily News) sasa kwa kuwa maoni ya Watanzania yameonyesha kuwa Rais ni Dk Slaa wakubwa wao watakuwa wamewajia juu sasa wanatafuta mlango wa kutokea wakati wameshachelewa.
 
Back
Top Bottom