Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jibu swali acha kuropoka kama mwendawazimu.Mali yako
Wamachinga hawa hawa wanaozunguka na soksi mbili kutwa nzima ?Ni Gazeti la Wamachinga!
Linaandika mambo ya kijinga sana !Ukisikia gazeti la ki CHAWA ndo hili
chawa flani hivi wa yuuviisiisiiemuKwa vile kuuliza si Ujinga, basi na mimi ninajitokeza mbele yenu wadau ili kutaka kujua Mmiliki hasa wa gazeti linalochapishwa na kusambazwa Tanzania linaloitwa Wamachinga.
Lengo langu ni kujua tu ili kuongeza maarifa.
Naomba kuwasilisha
Kwa mujibu wa taarifa wanazoandika, obviously ni gazeti la mama Samia linaloendeshwa kupitia wakala Cyprian Musiba kama Magufuli alivyokuwa akimtumia kupitia gazeti la Tanzanite.Kwa vile kuuliza si Ujinga, basi na mimi ninajitokeza mbele yenu wadau ili kutaka kujua Mmiliki hasa wa gazeti linalochapishwa na kusambazwa Tanzania linaloitwa Wamachinga.
Lengo langu ni kujua tu ili kuongeza maarifa.
Naomba kuwasilisha
mambo ni mengi hapa mbele tuendako ukistaajabu ya wamachinga utaona ya kina mamantilie mda c mrefuKwa vile kuuliza si Ujinga, basi na mimi ninajitokeza mbele yenu wadau ili kutaka kujua Mmiliki hasa wa gazeti linalochapishwa na kusambazwa Tanzania linaloitwa Wamachinga.
Lengo langu ni kujua tu ili kuongeza maarifa.
Naomba kuwasilisha
Angalia huu utopoloKwa mujibu wa taarifa wanazoandika, obviously ni gazeti la mama Samia linaloendeshwa kupitia wakala Cyprian Musiba kama Magufuli alivyokuwa akimtumia kupitia gazeti la Tanzanite.
Linaandika habari za ovyo hata kuliko Tanzanite