Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Una maana na ubishoo wako wote gazza humjui au??... kisandu si toka kitambo hayupo??Umeongea na promoter deo kisandu
Mkuu ana jina baya tuu ila yuko powa video zake.. Ma director ni wakubwa tuu..Mmmh jina lenyewe Gazza.....walahi huyo haji chomoka
Anamoja Hip Hop nyingine trapanaimba hip hop? kama ndio, kizuri kula na wenzio mkuu, fanya kama una-attach audio hapa na sisi tusikilize
Gaza namjua broUna maana na ubishoo wako wote gazza humjui au??... kisandu si toka kitambo hayupo??