GB whatsap ndo nataka kupigwa ban

Last week nilipata hiyo notification ikabidi nirudi WhatsApp official kinyonge, maana natumia hizo mod toka 2017...

Upepo ukipoa nitarudi tu tena
 
Nishajisalimisha whatsap busines ila inaboa balaa
 
Hamisha file zako kwenye gb wsp media fasta, yalishanikuta nikapiteza doc nyingi sana, switch to official wsp uhame na groups zako
 
Last week nilipata hiyo notification ikabidi nirudi WhatsApp official kinyonge, maana natumia hizo mod toka 2017...

Upepo ukipoa nitarudi tu tena
Ilikuwa hvyo pia kwangu ila hiyo ni issue ya kawaida coz sio official wtsp ila wamesha solve inapiga kazi kama kawaida. Japo hiyo warning ⚠️ inaweza kuja tena. Mm hiyo official wtsp siiwezi imepoa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…