Wakuu kwema mm sio mambo mengi kwenye whatsap, naeza tuma sms kwa siku hata 10 hazifiki picha kwa siku naweza nisitume ama video ila hawa whatsap siwaelewi hii sms yao inamaana wwnataka kunipiga rulaView attachment 2937421
Ilikuwa hvyo pia kwangu ila hiyo ni issue ya kawaida coz sio official wtsp ila wamesha solve inapiga kazi kama kawaida. Japo hiyo warning ⚠️ inaweza kuja tena. Mm hiyo official wtsp siiwezi imepoa mno
Ikileta warning usiwaze una switch kwenye official wtsp then within 72hrs unarudi GB Whatsapp. Tunaijua hii mbinu way back huko. Japo siku hzi warning ⚠️ zinekuwa nyingi kidogo. Ila gb Whatsapp sio wazembe within hiyo 72hrs kuna kuwaga na solution.