GB WhatsApp vs FM WhatsApp

Baadae mnakuja ooh wamenihack wakati bado mnatia fake apps (unofficial) kwenye simu zenu zenye nambo yenu yoyte

suala la usalama wa simu na privacy yako linaanzia kwako tujifunze kusoma na kujua madhara ya vitu kabla ya kuvitumia tuwe wadadisi kidogo hata kama fani yako sio IT

suala la usalama wa ki mtandao (Cyber security) ni general knowledge
 
Lakini wapi nipakue programu hii, haipatikani kwenye google play store.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…