GDP, current prices (IMF) Billions of U.S. dollars

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
Economists in the house can u define GDP current prices .Kenya beats Tz and UG combined or Rather About Double TZ. yani hakuna siku TZ itachapa kenya apart from population,poverty na land size.

GDP sikuhz figure za kupachika tu? maana kila mwezi unafigure tofaut kutoka chanzo kilekile...
 
Sasa nikuulize kwanini Kenya inashindwa kujenga hata1km ya SGR kwa pesa yake mwenyewe
Huku Tanzania ikijenga zaid ya 500Km Kwa pesa yake!?
 
Sasa nikuulize kwanini Kenya inashindwa kujenga hata1km ya SGR kwa pesa yake mwenyewe
Huku Tanzania ikijenga zaid ya 500Km Kwa pesa yake!?
mmejenga nini na pesa yenu?..tax collection yenu ni 0.3 enye kenya ina collect
 
Sasa nikuulize kwanini Kenya inashindwa kujenga hata1km ya SGR kwa pesa yake mwenyewe
Huku Tanzania ikijenga zaid ya 500Km Kwa pesa yake!?
Unasema kwamba Kenya inashindwa kujenga SGR wakati nyinyi hapo hata vitu msingi kama afya na elimu mnafadhiliwa na mabwana zenu. Bajeti yenu inafadhiliwa kwa zaidi ya 45% na misaada(sio mikopo) ya wazungu huku Kenya tukifadhili bajeti yetu sisi wenyewe kwa 96%. Sasa ndio mnajiita matajiri na longo longo za kwa pesa zetu. Wakati mkileta zogo kuhusu ushoga mnabanwa na mabwana zenu. Hela mnakosa za kuwalipa walimu na madaktari hadi mnalegeza na kuwa wadogo kama piriton?
 
Mmejifadhili mradi gan mkubwa kwa fedha za kodi nk ?
 
GDP at current prices ni GDP ambayo inatumia latest prices za goods and services which means ina-include inflation. Opposite yake ni GDP at constant prices ambayo hai-include inflation. Lakini hatuwezi jua kama ni norminal ama ppp juu hawajasema. Lakini kulingana na experience niko nayo naeza kuambia hii ni GDP PPP.
 
Sasa nikuulize kwanini Kenya inashindwa kujenga hata1km ya SGR kwa pesa yake mwenyewe
Huku Tanzania ikijenga zaid ya 500Km Kwa pesa yake!?
Ushahidi???kile tunajua kilomita 300 ndio mnajenga na pesa ya "ndani"hapo pengine mlikopa stanchart bank...
 
GDP is overrated na wakenya
 
Budget inayoisha mwez July Tanzania imefadhiliwa na wazungu 6% Tu
 
Budget inayoisha mwez July Tanzania imefadhiliwa na wazungu 6% Tu

Not by choice, ni kwa sababu wenye pesa zao hawatoi tena. Ila wakitoa mnashangilia na kukata viuno mkimsifia jiwe. Pathetic!
 
Not by choice, ni kwa sababu wenye pesa zao hawatoi tena. Ila wakitoa mnashangilia na kukata viuno mkimsifia jiwe. Pathetic!
Kwa hivyo ni kweli kwamba mabeberu wanatoa asilimia sita pekee ya budget inayofuata? Kama ni kweli hongera zenu, nimefurahi kusikia EAC tunasonga mbele na tunakuwa watu wazima wa kujitegemea.
 
Sasa nikuulize kwanini Kenya inashindwa kujenga hata1km ya SGR kwa pesa yake mwenyewe
Huku Tanzania ikijenga zaid ya 500Km Kwa pesa yake!?

Kwa hivyo ni kweli kwamba mabeberu wanatoa asilimia sita pekee ya budget inayofuata? Kama ni kweli hongera zenu, nimefurahi kusikia EAC tunasonga mbele na tunakuwa watu wazima wa kujitegemea.

Work of fiction, don't take that literally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…