GDP, current prices (IMF) Billions of U.S. dollars

Not by choice, ni kwa sababu wenye pesa zao hawatoi tena. Ila wakitoa mnashangilia na kukata viuno mkimsifia jiwe. Pathetic!
Lakini mambo si yanaenda na miradi inaendelezwa na watu wana makazi, msosi na biashara zinazidi rahisishwa kwa ujenzi wa miradi mingi.
Na tunazidi kupunguza utegemezi.
Wewe nyumbu unasemaje.
 
Lakini mambo si yanaenda na miradi inaendelezwa na watu wana makazi, msosi na biashara zinazidi rahisishwa kwa ujenzi wa miradi mingi.
Na tunazidi kupunguza utegemezi.
Wewe nyumbu unasemaje.
Miradi gani inaendelezwa kama Bagamoyo ilikufa....Ujenzi wa barabara na project zingine zimesimamishwa kufadhili SGR iliyokwama kichakani....Stiglers gorge hata usiongee....Mradi utachukua miaka ishirini kukamilika, that is kama utaanza.....Ni biashara gani unasema zinazidi kurahisishwa?? Urahisi wa kufanya biashara Tz umeshuka Kwa nafasi 12 kuonyesha both private na public investors wanaogopa kuekeza Mali Yao huko Kwa kuhofia policies za Jiwe.....
 
Madeni tunalipa na miradi inasonga a.....sasa nyie wakenya mloshindwa kujenga sgr yenu hata km 1 na bado mmeomba mkopo kwaajili ya kujazia kwa budget yenu hahahaha...safari hii kenya mnalo
Tunajenga Kwa pesa za ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1117117
 
Madeni tunalipa na miradi inasonga a.....sasa nyie wakenya mloshindwa kujenga sgr yenu hata km 1 na bado mmeomba mkopo kwaajili ya kujazia kwa budget yenu hahahaha...safari hii kenya mnalo
Hahahaha....tumeshindwa kujenga sgr hata km 1?? Una akili nzuri wewe??......Bagamoyo iko wapi? Stiglers gorge mliotengeneza na pesa zenu iko wapi? Hiyo sgr hata tusiongee..Mturuki katoroka...pesa za ndani zimekwisha.......Halafu ndio Hilo deni mshaanza kulipa......kwani hili deni lilikuwa linafadhili nini kama miradi yote imekwama?...Sisi tunalipa deni ya miradi tunayoiona.......
 
Huwa sibishani na watoto.. Sorry sikujua kama hujabalehee..
 
Huyo ni nyumbu. Sasa wewe amini ng'ombe mwitu at your own peril.
Ni kweli ama si kweli kwamba mnapokea misaada wa asilimia sita pekee kwa bajeti yenu? Miaka miwili iliyopita mlikuwa mnapokea asilimia thelathini ya bajeti yenu kupitia misaada. Kenya tunapata misaada kwa asilimia sita ya bajeti kwa hivyo kama nyie pia mmefika ligi yetu basi hongera, hamna haja ya nyie kuitwa LDC tena.
 
Madeni tunalipa na miradi inasonga a.....sasa nyie wakenya mloshindwa kujenga sgr yenu hata km 1 na bado mmeomba mkopo kwaajili ya kujazia kwa budget yenu hahahaha...safari hii kenya mnalo
Ligi yetu ya kuomba mkopo kujazia budget ni ligi kubwa ya mido inkamu. Ligi yenu ni ya kuomba misaada kujazia budget.
 
Bagamoyo ilikuwa unyonyaji mwingine, sgr haijakwama vichakani, inajengwa sana tu, wanaelekea singida sasa hivi from Dom, tazama yapi merkez channel kwa youtube ujionee, stigler's hundi zimetolewa kama unafuatilia habari. Boss, be informed first.
 
Kuna faida ya sisi kuitwa ldc mkuu.
 
Usiwee unawajibu watu ka hao ambao hawafatilii taarifa za mradi et sgr imeeishia vchakani hahahah wanadhan hii ni sgr yao iloishia porini
Bagamoyo ilikuwa unyonyaji mwingine, sgr haijakwama vichakani, inajengwa sana tu, wanaelekea singida sasa hivi from Dom, tazama yapi merkez channel kwa youtube ujionee, stigler's hundi zimetolewa kama unafuatilia habari. Boss, be informed first.
 
Wewe ni poyoyo taslim

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…