GDP growth haifikii wananchi EAC

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
- Kenya na average GDP growth rate ya 5.4%, mishara halisia imeshuka kwa asilimia 1.6% ndani ya miaka kumi...
-Tanzania na average GDP growth rate ya 7% ndo inaongoza Africa nzima kwa kudorora kwa mishahara ya wafanyikazi
-Ethiopia nao na GDP growth rate ya 9% wako na afadhali Lakini mishahara yao bado iko chini sana ukilinganisha na nchi za EAC, yani kama x5 lower.
-Rwanda pekee ndo nchi ya EAC ambapo mishahara inaongezeka kulingana na ukuaji wa uchumi..


Hili sijui watanzania mtasemaje, nyinyi ndo mnaongoza kwa GDP growth rate ndani ya nchi za EAC na pia muko namber ya pili au tatu africa kwa GDP growth rate , tena hua mnapenda kujisifu kua inflation yenu iko chini, sijui kwanini mapato halisia ya wafanyikazi yanazidi kushuka kila mwaka....
Yani ule mshahara (au uwezo wa mshahara kununua bidhaa) ambao mfanyikazi alikua analipwa miaka kumi iliopita ni mkubwa kwa asilimia 9% kuliko mshahara wa sasa.



-----------------------------

NEW YORK,
With wages adjusted for inflation, Kenyan workers are earning less than they did 10 years ago,
the United Nations’ International Labour Organization (ILO) says in a report released on Monday.
The rate of change in real wages (a term used in the report to refer to inflation-adjusted monthly earnings) dropped by 1.6 percent in Kenya from 2008 to 2017, the ILO global study shows.
NO BENEFIT
The fall in real wages was even steeper last year for Kenya, declining by 2.9 percent, the report notes.
It can thus be inferred from the ILO report that Kenyan wage workers have not benefitted financially from the country’s economic expansion in recent years.
Related Content

Kenya's gross domestic product grew by between five and six percent annually from 2013 through 2017, according to the World Bank.
The country lags regionally in real-wage average growth rates, the ILO study shows.
Among the 24 sub-Saharan countries included in the report, real wages increased 2.7 percent during the past five years.
Real-wage rates rose most sharply in that period in Senegal (32.3 percent), while falling most precipitously in Tanzania (-9.5 percent), the report shows.
NOMINAL WAGES

Citing the Kenyan National Bureau of Statistics as its source, the ILO reports that nominal wages (those not adjusted for inflation) have grown substantially in Kenya, rising from an average of Sh42,886 per month in 2013 to Sh57,008 last year.
The ILO report cautions that “wage employees in Africa represent only a limited proportion of these countries’ working populations.”
The study does not present estimates for changes in earnings among workers in countries’ informal sectors.
Although the new ILO report focuses on disparities in earnings between men and women, the study contains no data for the gender pay gap in Kenya specifically or in sub-Saharan Africa as a whole.
Globally, the UN body says, women are paid about 20 percent less than men.
UN exposes shame of Kenyans' pay

------------------------------------




Ili msianze kulaumu magazeti ya Kenya kwa kuwachomea picha, nimetafuta hio ripoti ya ILO

https://www.ilo.org/wcmsp5/groups/p...---publ/documents/publication/wcms_650553.pdf



Eastern Africa big 4 wote wameuma negative! Tunaharibia Africa picha kwa kuvuta meanscore chini
 
Kama inflation rate ipo chini kwa nini uongeze mishahara??
 
Kama inflation rate ipo chini kwa nini uongeze mishahara??
kama mapato ya nchi (GDP) inazidi kuongezeka kila mwaka, kwanini wafanyikazi wasilipwe zaidi kwa kazi nzuri wanayoifanya????? Hii inamaanisha makampuni na mabwenyenye wanazidi kutajirika lakini hali ya wafanyikazi inazidi kudorora... wewe kama mwananchi wa nchi ilio na desturi ya kijamaa haufai kukubali ubepari wa aina hii kutendeka! kampuni ikitajirika, wafanyikazi pia watajirike, bidhaa za wakulima zikiongezeka, wakulima ndo watajirike zaidi
 
Wapika data huumbuliwa kwa mtindo huu, waliambiwa huo ukuaji ni uwongo wakang'aka.
Leo hii wana ugomvi mkubwa na wastaafu, wamebadilisha sheria angani.....
Huku mishahara inashushwa na haipandi
 
Wapika data huumbuliwa kwa mtindo huu, waliambiwa huo ukuaji ni uwongo wakang'aka.
Leo hii wana ugomvi mkubwa na wastaafu, wamebadilisha sheria angani.....

Acha umama msee,kama hujui uchumi heli ukaushe.labda maswali machache nikuulize,

Unajua ni kwanini rwanda imeongoza na ethiopia pamoja na rate ya9%bado haijakidhi??

Tazania kwa mfao,ili iwe direct na maisha ya wanachi inatakiwa iwe 9%-10%,7 bado haina nguvu sababu pop ni kubwa.
 

Hivi unaelewa kichazungumziwa au unafyatuka ilmradi.....
Ripoti inasema Tanzania ndio inaongoza kwa mishahara kushuka, kwa kifupi hata kwa hiyo asilimia yenu ya usanii, mishahara bado inashuka vibaya mno.
Watu wa buku saba hamtaliona hili maana nyie mumehakikishiwa, lakini mamilioni ya Watanzania wanakiona cha moto....
 
I think East Africa we are struggling to lifted up from poverty. One of measures being taken is cutting down government running cost so I hope for the future the wages bill would be higher. Let's hope for Better
 
Reactions: Oii
Unashangaa bongo wakati huyo giant wa afrika anapumulia machine..
Hadi mido inkamu naye hovyo tu..
 

kuna ongezeko la aina mbili.
mosi: ongezeko la mshahara wenyewe. wanaita norminal increase. ambayo mara nyingi inaambatana na ongezeko la gharama za maisha au inflation. ongezeko hili halina tija kwa wafanyakazi wala nchi kwa ujumla.
pili: ongezeko halisi (real increase). hili ni ongezeko ambalo mshahara wa wafanyakazi haupandi. bali mfumuko wa bei unadhibitiwa, hivyo kuufanya mshahara kuwa na nguvu. purchasing power ya mshahara inakuwa kubwa. hivyo hata asipopewa nyongeza ya mshahara, bado anakuwa na uwezo wa kununua kwa bei iliyodhibitiwa.
 
Hoja zako hua zimenyooka !!nmekubaliana na Wazo lako hili kwa 100%
 
We still have a long way to go kama East Africa
Ndio...mfano hapa Tz pres amesimamisha annual increments since he assumed office 2015 ,he has sucked more than 10thousands employees ' ghost workers saga '...nabado
 
Hio ripoti inaongelea kuhusu hio real increase ambayo iko adjusted to inflation..... Ukisoma ripoti yote nchi za north Africa (Egypt, Morocco, Algeria) wote wame perform vizuri, inchi kama Egypt iko na population kubwa Sana na GDP Yao inakua polepole....na bado wako vizuri. Juzi nilishangaa baada ya kukagua TV ya LG nilionunua nikaona hapo nyima imeandikwa made in Egypt ! Yani kiwanda cha LG cha Kuza bidhaa za Africa kiko hapa Egypt! Mbona hawakukileta huku kwetu? No nini ambacho kiliwavutia zaidi huko.... Nk...

Hii imenifanya ni gundue nchi za North Africa zimejipanga kiunchumi, Sisi wengine haswa nchi za East Africa bado hatujajipanga kiunchumi Kwa mda mrefu Sana tumekua hatuna direction tunahesabu GDP tu alafu tunapiga vifua.... Ukienda kule Egypt wachezaji mpira Wana uwezo wa kuishi ndani ya nyumba nzuri na familia na kujikimu kimaisha, ukirudi huku kwetu mjezaji mpira mzuri anacheza akisubiri aje achukuliwe na kina Chelsea na Man U, ili Manisha yake yaboreke...
 

Mshahara gani unashuka wewe???unaishi tanzania wewe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…